Tatizo la hili hutofautiana kati ya mtu moja na mwingine lakini kwa ujumla hutokana na kuzidi kwa ute ute(Makamasi) ndani ya mapafu hali inayopelekea mtu kushindwa kupumua vizuri. Zipo dawa nyingi za kutuliza tatizo hili ila tiba...
Ikiwa una tatizo la kupungukiwa damu mara kwa mara na hupendi kuongezewa damu hospitali unatamani kuongeza damu kwa njia za asili basi upo sehemu sahihi kabisa. Mahitaji: (i.) Maziwa fresh ya...
Watu wengi hudhani kama mwanamke hapati ujauzito basi tatizo na lawama zote zitakuwa ni upande wa mwanamke, lakini hilo si lazima mara zote liwe hivyo. Kuna uwezekano mkubwa kuwa tatizo la kutopata mtoto katika familia likawa...
Mkanda wa jeshi(Shingles) ni jina linalotumika sana mitaani kuutaja ugonjwa unaoshambulia ngozi na kujenga tabaka la vijipele vikubwa vyenye majimaji ambavyo mara nyingi hutokea upande mmoja wa mwili. Ingawa vipele hivi huweza...
Wanawake wengi hukumbwa na kadhia hii ya kutema tema mate sana wakati wa ujauzito kitu ambacho hugeuka kero kwao wenyewe au wenza wao. Njia rahisi ya kuondoa kadhia ni Mahitaji Tangawizi au Karoti Matayarisho...
Wanawake wengi sana huwa wanakumbwa na tatizo la kuwa na kichefuchefu kinachowapelekea kutapika sana hasa katika wiki 12 za mwanzo za ujauzito. Hali ambayo hupelekea wengi wao kudhoofika sana kipindi hicho. Mara nyingi sana...
Neno U.T.I ni kufupisho cha maneno Urinary Tract Infections ikiwa na maana maambukizi kwenye njia ya mkojo na mfumo wake. U.T.I husababishwa na wadudu wadogo sana ambao ni bacteria waitwao Escherichia coli (E. Coli) ambao huingia...
Mahitaji: (i.) Asali kikombe robo lita (250mls ) (ii.) Vitunguu maji vikubwa Vitatu Matayarisho na matumizi yake: Saga vitunguu vyako viwe kama uji kisha changanya na asali yako Kwa Mtu Mzima:...
Je, Unajua Bawasiri/Hemorrhoids Ni Nini? Ni ugonjwa unaotokana na kuathirika kwa mishipa ya damu ya ndani na nje ya sehemu ya haja kubwa na wakati mwingine mishipa hiyo huweza kupasuka/kuteleza na kuvuja damu kwenye njia...
Kabla sijazungumzia tiba ya tezi dume napenda kwa ufahamu japo kwa ufupi tezi dume ni nini? Maana wengi wetu tukisikia neno hilo huwa tunafikiria ni ugonjwa kitu ambacho sio ukweli hata kidogo. Ukisikia tezi dume naomba...









