Topten Herbs

WABOBEZI WA TIBA ASILI

  • Instragram
  • Youtube
  • facebook
  • Home
  • WANAUME
  • WANAWAKE
  • HUDUMA ZETU
  • WASILIANA NASI

Author - Topten Herbs

  • UZITO

Makosa 2 Yanayofanywa na Watu Wanaopunguza Uzito

June 26, 2026
by Topten Herbs
2 min read
Add Comment

  Kosa la 1: Kudhani “Kupungua” ni Swala la Chakula Gani unakula, Tangu tukiwa wadogo, tumelishwa uongo kwamba ili upungue lazima uache kula vyakula vyako unavyovipenda na kuanza kula vyakula vya gharama kama...

Continue reading

  • UZITO

PUNGUZA UZITO KISAYANSI BILA KUUTESA MWILI WAKO

June 25, 2026
by Topten Herbs
3 min read
Add Comment

Je, Umechoka Kutesa Mwili Wako Bila Matokeo ya Kudumu? Watu wengi wanaotaka kupunguza uzito wamekuwa wakipitia mateso makubwa. Wamekuwa wakiipa miili yao mazoezi mazito kupitiliza, kufuata ‘diet’ ngumu za kujinyima...

Continue reading

  • UZITO

PUNGUZA UZITO KISHUA

June 12, 2026
by Topten Herbs
2 min read
Add Comment

Kila siku unaamka na maumivu ya magoti au mgongo?   Unachoka haraka hata kwa kazi ndogo tu? Mara kwa mara unaogopa kusikia daktari akikutajia maneno kama Presha, Kisukari au Cholesterol? Kama jibu ni NDIO, basi...

Continue reading

  • TIBA MBADALA

ZINGATIA MAMBO HAYA KAMA UNAZALISHA SABUNI NA VIPODOZI

June 12, 2026
by Topten Herbs
3 min read
Add Comment

“JE, UNAJUA KWA NINI WATU WENGI WANASHINDWA KUFANIKIWA KWENYE BIASHARA YA SABUNI NA VIPODOZI?” Kama umewahi kutamani kuanzisha biashara ya sabuni au vipodozi, au tayari unaifanya biashara hiyo, kuna uwezekano mkubwa...

Continue reading

  • TIBA MBADALA

FAIDA ZA TANGAWIZI

May 27, 2026
by Topten Herbs
2 min read
Add Comment

              Tangawizi ni moja ya viungo vyenye nguvu kubwa ya kitabibu na vimekuwa vikitumika kwa karne nyingi kutibu na kukinga magonjwa mbalimbali. Hapa kuna faida kuu za tangawizi mwilini: 1. Kuboresha...

Continue reading

Woman experiencing stomach pain with herbal remedy illustration in background.
  • TIBA MBADALA

MINYOO INAWEZA KUKUUA USIPOKUWA MAKINI

April 28, 2025
by Topten Herbs
2 min read
Add Comment

Je, Unasumbuliwa na Matatizo Yafuatayo? 1.Kiungulia na Tumbo Kujaa Gesi? 2.Kukosa Hamu Ya Kula? 3.Chunusi na Matatizo ya Ngozi yasiyosikia dawa? 4.Maradhi ya Mara kwa Mara? 5.Maumivu ya Kiuno na Mgongo? 6.Umepoteza hamu ya...

Continue reading

  • WANAUME
  • WANAWAKE

NJIA RAHISI YA KUPATA MIMBA HARAKA

March 8, 2025
by Topten Herbs
3 min read
Add Comment

Je, Umetafuta mtoto kwa muda mrefu na bado hujafanikiwa?    Nadhani jibu lako ni NDIYO Je,Umewahi kujiuliza ni kwa nini unachelewa kufanikiwa?  Je, umeshafanya vipimo muhimu wewe na mwenzi wako kujua changamoto yenu ni...

Continue reading

People relaxing on the beach with herbal remedies and books.
  • WANAUME
  • WANAWAKE
  • WATOTO

MAMBO YA KUZINGATIA KABLA YA KUPUNGUZA UZITO

June 3, 2024
by Topten Herbs
4 min read
Add Comment

              “Kupunguza uzito ndio imekuwa habari ya mjini kwa sasa kila mtu anataka kupunguza uzito” Pengine na wewe ni miongoni mwa watu wanaopambana kwa hali na mbali kupunguza Uzito. Lakini Leo napenda...

Continue reading

A woman and a man in bed looking surprised as a man in a suit enters the room.
  • WANAUME
  • WANAWAKE
  • WATOTO

DALILI ZA 10 MWANAMKE ANAYECHEPUKA

April 4, 2024
by Topten Herbs
4 min read
Add Comment

DALILI ZA MWANAMKE ANAYECHEPUKA Kupungua kwa Upendo kukuelekea. Anakuwa msiri sana tofauti na awali. Anakuwa na safari zisizo na taarifa na hata akikuaga hataki muende wote. Anakuwa mkali sana hata kwenye maswali ya...

Continue reading

Pregnant woman holding her belly, health and wellness concept.
  • WANAUME
  • WANAWAKE

MAMBO 10 YANAYOSABABISHA MWANAMKE KUCHELEWA KUSHIKA MIMBA

April 2, 2024
by Topten Herbs
4 min read
Add Comment

Leo napenda tujifunze Mambo 10 yanayosababisha wanawake wengi kuchelewa kupata mimba haraka na jinsi ya kutatua changamoto hiyo haraka hapo nyumbani. 1. Umri: Wanawake wenye umri mkubwa wanaweza kukabili ugumu zaidi katika kupata...

Continue reading

1 2 3 … 5 Next
Copyright © 2026. Created by Meks. Powered by WordPress.
  • Home
  • WANAUME
  • WANAWAKE
  • HUDUMA ZETU
  • WASILIANA NASI
  • Instragram
  • Youtube
  • facebook
1
WhatsApp
Je, Unahitaji Kupata Chai ya Kupunguza Kitambi na Nyama Uzembe? Ikiwa Jibu lako ni ndio Bonyeza hapo chini tukupe utaratibu wa kuipata
BONYEZA HAPA