“Kupunguza uzito ndio imekuwa habari ya mjini kwa sasa kila mtu anataka kupunguza uzito”
Pengine na wewe ni miongoni mwa watu wanaopambana kwa hali na mbali kupunguza Uzito. Lakini Leo napenda tujiulize na kujibu maswali muhimu kabla ya kuamua kupunguza uzito.
Swali la kwanza: Kwa nini unataka kupunguza Uzito?
Watu wengi sana huwa hawana Majibu sahihi ya swali hilo, Kwani ukibaki na mwili wako huo kuna tatizo gani unapata?
Lengo hasa la swali hilo ni kupima faida unazotegemea kuzipata baada ya kupunguza uzito!!
Je, uzito wako unasababisha maradhi?
Je, unashindwa kujiamini vizuri uwapo mbele ya watu kwa sababu ya uzito huo?
Je, unakuzuia kufanya shughuli zako kwa uhuru?
Je, Mwenza wako hapendezwi na wewe kuwa na mwili huo mkubwa?
Je, unashindwa kupata mimba kwa wakati kwa sababu ya mafuta kuzidi ndani ya mwili na kupelekea mvurugiko wa homoni?
Je, unashindwa kufurahia tendo la ndoa?
Je, unahisi nguo zako hazikupendezi tena kwa sababu ya mwili huo mkubwa?
Ni muhimu sana kujiuliza maswali hayo na mengi mengi ili uweze kupata sababu ya msingi ya wewe kupunguza Uzito wako. Kuna wengine wamekurupuka tu kuanza kupunguza uzito mwisho wameacha na wapenzi wao kumbe mwenzake alimpenda kwa ubonge wake huo.
Hii kitu imekuwa ikiumiza wanawake wengi sana baada ya kuolewa au kuchumbiwa yeye anakimbilia kubadilisha muonekano wake kumbe ule muonekano wa awali ndio ulimvuta mwanaume huyu kwake.
Unavojibadilisha tayari unamfanya akose kile kitu ambacho alikuwa ameshawishiwa nacho kukufuata wewe hivo kabla ya kuamua kupunguza uzito ni vizuri sana kushauriana na mwenzako wako kama unaye usikie maoni yake. Usije ukampoteza kwa uamuzi wako
Swali la Pili: Kitu gani kimesababisha Umenenepa?
Hili ni swali Muhimu sana kuwa na majibu yake, ni vizuri sana ujue chanzo cha wewe kufikia uzito huo ambao unakukera kwa sasa. Kujua cha cha tatizo ni nusu ya kutatua tatizo lenyewe.
Wengi wetu tumekuwa hatujui sababu hasa iliyopelekea kunenepa, ndio maana watu wengi sana wanaopunguza uzito huwa wanapungua kwa muda afu baadae wananenepa mara mbili au zaidi kwa sababu hawajui ni nini hasa kilifanya wanenepe.
Swali la tatu: Njia gani sahihi na itakayokupa matokeo ya kudumu?

Hapa ndipo watu wengi sana wamepotea na mwishowe kukata tamaa ya kupunguza Uzito baada ya kutumia gharama kubwa bila kupata matokeo waliyotegemea. 😭😭😭
Naomba ujue kupunguza Uzito ni sayansi huhitaji kutumia nguvu au madawa mengi yanayochosha mwili wako. Unatakiwa kutumia akili ili matokeo utakayopata yawe ya kudumu.
Wengi sana wamekuwa wakifanya mazoezi, Diet na madawa kwa sana kweli wanapata matokeo mazuri lakini pindi wanapoacha tu tatizo linarudi tena kwa speed kubwa sana. 😭😭😭
Hakikisha njia unayokwenda kuitumia inaendana na aina ya maisha yako ya kawaida, unaambiwa wakati wa program hiyo uwe unakula mayai, nyama, sijui vyakula vingine unapewa.
Sasa siku ukirudi kwenye maisha yako ya Wali maharage, Sembe Nyama utatoboa au ndio utakuwa kibonge mara kumi😂😂
SULUHISHO LA UHAKIKA
Sisi TOPTEN HERBS CLINIC tangu mwezi Novemba mwaka 2021 tumeweza kuwasaidia Maelfu ya watu waliokuwa na Changamoto ya Uzito mkubwa kuweza kufikia miili ya ndoto zao kirahisi kabisa kupitia chai Yetu Ya MAAJABU SLIMMING TEA.
Chai hii imetengenezwa kwa ustadi wa hali ya juu sana, yenye ladha nzuri sana, na matokeo ya haraka sana. Unakupunga Uzito wako huku unaenjoy maisha.
Mwili wako ni wa thamani sana haistahili kuutesa hata kidogo… Ndio maana tumekutengenezea Chai hii uweze kutimiza MALENGO yako ya Kuupata mwili wa Ndoto zako huku ukiwa na afya njema na ukiwa na FURAHA Tele.
FAIDA ZA 10 MAAJABU SLIMMING TEA
- Huhitaji Kufanya DIET hata kidogo.
- Huhitaji Kufanya Mazoezi Ya aina yoyote Labda kama unapenda kufanya hivo
- Hauharishi hata kidogo wala kuutesa mwili wako
- Imetengenezwa kuwa kutumia Viungo vya kawaida kabisa
- Sio chungu hata Kidogo na Ukiweka Asali inakuwa Tamu kama Chai nyingi.
- Imetengenezwa hapa hapa Tanzania
- Bei yake ni 50,000/- tu na inatosha kutumika Mwezi Mzima.
- Delivery ni FREE kabisa popote Ulipo Tanzania
- Ina matokeo ya Haraka sana
- Inatumika na watu wa jinsia zote pia ni rahisi sana kuitumia
Ikiwa unatamani kuipata Chai hii basi wasiliana nasi kwa
+255 676 298 270 au +255 758 298 270
Sisi tunapatikana Mbezi kwa Msuguri DSM na Mafinga IRINGA
UNAWEZA KUTAZAMA VIDEO HII PIA KUONA MAJARIBIO TULIYOYAFANYA SISI WENYEWE.
TAZAMA WASEMAVYO WALIOTUMIA CHAI HII




