DALILI ZA MWANAMKE ANAYECHEPUKA
- Kupungua kwa Upendo kukuelekea.
- Anakuwa msiri sana tofauti na awali.
- Anakuwa na safari zisizo na taarifa na hata akikuaga hataki muende wote.
- Anakuwa mkali sana hata kwenye maswali ya kawaida tu.
- Anapenda kujiremba sana hasa anapokuwa anataka kutoka.
- Hataki mawasiliano sana na mara nyingi hupenda kutoa majibu ya mkato.
- Kama umemvisha pete atakuwa anapenda sana kuivua hasa anapokuwa anakwenda kwenye misele yake.
- Anakuwa makini sana kwenye masuala ya uzazi wa mpango hata kama hamfanyi tendo mara kwa mara.
- Anaanza kuwa na makundi au kupenda sana kwenye shughuli tofauti na kawaida yake.
- Unaweza kuanza kuhisi kitu hata kama hakuna dalili yoyote anayoonesha. Mungu ametuwekea Alam ambayo huwa inatupa taarifa ndani kwa ndani.
Hakuna kitu kinauma kama ukijua kuwa mkeo au mpenzi wako ana mahusiano na mtu mwingine.
Lakini naomba ufahamu kuwa katika vitu vigumu kwa mwanamke kufanya ni kuchepuka na ukiona ameanza kuchepuka basi mara nyingi shida huwa imesababishwa na mwanaume mwenyewe.
SABABU ZA WANAWAKE KUCHEPUKA
Kutotoshelezwa kihisia, unakuta mwanaume upo busy kusaka maisha na huna muda kabisa na mkeo au mpenzi wako.
Migogoro ya mara kwa mara. Wanawake ni wadhaifu sana kwenye kuhifadhi hisia zao hasa wanapohisi kuumizwa akimpata mtu ambae atamjali kidogo tu anachepuka.
Kutotoshelezwa kimwili hasa hapa ni kwenye mambo ya chumbani. Ukiwa mzembe au huwezi kabisa shughuli inakuwa ni sababu yake ya kudondokea kwenye mikono ya wanaume wakwere na mbaya akikunwa vizuri huko nje huwa ni ngumu sana kuacha hiyo tabia.
Kulipa Kisasi: Mara nyingi jambo hili hutokea baada ya mwanaume kufanya usaliti na hapo roho ya mwanamke inaingia kinyongo nae anataka kulipiza kisasi tu. Huyu huwa hafanyi kwa kupenda ila tu anafanya kwa hasira.
Tamaa ya vitu au Umaarufu: Kuna baadhi ya wanawake huwa wanachepuka ili wapate vitu fulani wanavyovitaka kutoka kwa wanaume hao pengine ni boss wake anaamua kumvulia nguo ili amuongeze mshahara au apate upendeleo fulani.
Tabia: Kuna wanawake ndio wameumbwa na hulka ya kupenda sana kufanya tendo, unaweza kujitahidi kumfanyia mambo yote muhimu na bado akachepuka kama kawaida.
Kujaribu anavyovisikia au Kuvisoma: Hii mara nyingi husababishwa na rafiki zake, unakuta rafiki zake wana tabia hizo na wamekuwa wanamsimulia mambo wanayofanyiwa na hao wanaume zao wa nje.
Na yeye anajikuta ameingia kwenye mtego wa kutaka kwenda kujaribu ili aone itakuwaje na athibitishe maneno ambayo mashoga zake huwa wanamsimulia.
AINA ZA WANAWAKE AMBAO NI RAHISI SANA KUCHEPUKA
- Wanawake wasio na kazi au muda mwingi wanautumia kufanya mambo ya hovyo kama kuangalia movies, Kuchati, n.k.
- Wanawake wanaopenda sana vitu ambavyo hawana uwezo navyo. Mfano unakuta anatamani avae nguo za gharama lakini hana kazi wala kitu cha kumuingizia kipato.
- Wanawake waliopitia mahusiano mengi kabla ya kuwa na wewe. Hawa mara nyingi huwa hawaogopi kuachika maana tayari washaachika sana huko nyuma.
- Mwanamke ambae alizalishwa na kuachwa: Hawa mara nyingi huwa ni rahisi sana kurudia kupasha viporo na baba za watoto wao.
- Mwanamke asie na hofu ya Mungu ndani yake. Kwa kawaida unapokuwa na hofu ya Mungu sio rahisi kufikiria kulipa kisasi, sio rahisi kwenda nje na kumvulia nguo mwanaume mwingine maana jambo hilo ni kinyume na imani.
CHANZO KIKUU CHA TATIZO
Mara nyingi ukiona mtoto anapenda kula kwa watu tatizo huwa ni nyumbani kutokupika chakula kwa wakati au mtoto kupewa chakula ambacho hashibi. Ndivyo ilivyo kwa wanawake pia.
Kwa sababu wameumbwa na aibu sana huwa ni vigumu sana kuonesha hisia zao, na ikiwa mwanaume hujui kuzisoma hisia hizo au ndio vile tena mwanaume uwezo ni mdogo wa kumuhudumia mwanamke kitandani ndio hupelekea mwanamke kuanza kufikiria Plan B.
Na ndio maana Kwa kuzingatia hali hiyo tuliamua kuandika kitabu maalumu ambacho kitamsaidia mwanaume mwenye matatizo hayo kuweza kuondoa changamoto zote yeye mwenyewe hapo nyumbani.
Kitabu hiki kina kurasa 74 na kimeeleza mambo yote kwa kina sana jinsi ya kuweza kutatua changamoto zote zinazomkabili mwanaume kwa kutumia mbinu rahisi sana hapo nyumbani.
Wewe mwanamke ambae unaona aibu kumweleza mumeo hisia zako unaweza kumnunulia kitabu hiki na ukampa kama zawadi ajisomee yeye mwenyewe.
Na wewe mwanaume ambae una changamoto ya kuwahi kufika kileleni au Mashine kushindwa kusimama vizuri basi kipate kitabu hiki na ukasome ukurasa kwa 19 hadi 25 kisha 71 hadi 72 na ufanyie kazi ushauri uliopo hapo hakika utaona Mambo ni rahisi sana.
Kitabu hiki ni Softcopy hivyo utakipokea kwa WhatsApp au e-mail na bei yake ya kawaida ni sh 10,000/- ila kwa sasa utakipata kwa OFA ya 5,000/- tu.
Ikiwa unatamani kukipata kitabu hiki wasiliana nasi kwa +255 758 298 270 au +255 676 298 270
👇👇👇👇👇👇👇
BONYEZA HAPA KUAGIZA KITABU HICHO
👆👆👆👆👆👆👆
Makala hii imeandikwa na:
Rashid Frances Kihwelo
Topten Herbs Clinic
+255 676 298 270/ +255 758 298 270
Mbezi Kwa Msuguri DSM