MAMBO 10 YANAYOSABABISHA MWANAMKE KUCHELEWA KUSHIKA MIMBA

Leo napenda tujifunze Mambo 10 yanayosababisha wanawake wengi kuchelewa kupata mimba haraka na jinsi ya kutatua changamoto hiyo haraka hapo nyumbani.

1. Umri: Wanawake wenye umri mkubwa wanaweza kukabili ugumu zaidi katika kupata mimba kwa sababu kadri umri unavyozidi kuwa mkubwa Ubora wa mayai na homoni za uzazi hupungua zaidi na zaidi.

2. Matatizo ya ovulation (Ovulatory disorders): Matatizo katika mzunguko wa hedhi au ovulation yanaweza kufanya iwe ngumu kwa mwanamke kupata mimba.

3. Matatizo ya uzazi (Reproductive disorders): Kuna matatizo ya kibaolojia kama vile endometriosis au PCOS (Polycystic Ovary Syndrome) yanayoweza kuzuia uwezo wa mwanamke kupata mimba.

4.Historia ya matatizo ya mimba (History of miscarriage): Wanawake ambao wamepata matatizo ya mimba  kuharibika hapo awali wanaweza kukabili ugumu zaidi katika kupata mimba. 

5. Matumizi ya dawa: Baadhi ya dawa zinaweza kusababisha kuchelewa kwa kupata mimba, kama vile dawa za kuzuia uzazi au dawa za matibabu ya magonjwa mengine.

6. Kuugua PID kwa muda Mrefu: PID imekuwa tatizo kubwa sana linalosababisha wanawake wengi kuchelewa kupata mimba na pia imekuwa haiponi kwa sababu wanaume huwa wanaachwa bila kutibiwa.

7. Mazingira ya kazi: Mazingira ya kazi yenye kemikali hatari au mionzi inaweza kuathiri uzazi wa mwanamke na kusababisha ugumu katika kupata mimba.

8.Msongo wa Mawazo/ Stress: Viwango vya juu vya stress vinaweza kuharibu mzunguko wa hedhi na kufanya iwe ngumu kupata mimba. Ndio maana huwa inashauriwa hata kama unatamani sana mtoto usitumie muda wako mwingi kuliwaza hilo.

9. Ubora wa mbegu (Sperm quality): Udhaifu wa Mbegu za kiume unaweza kufanya iwe ngumu kwa mwanamke kupata mimba. Ndio maana tumekuwa tukishauri sana mume na mke wafanye vipimo kwa pamoja.

10.Uzito wa mwili (Body weight):Unene kupita kiasi au uzito mdogo sana unaweza kuathiri mzunguko wa hedhi na kufanya iwe ngumu kupata mimba.

Leo napenda tulizungumzie kwa kina sana hili Jambo la mwisho maana walio wengi ndio limekuwa likiwasumbua sana bila wao kutumbua. Kabla sijaenda kulizungumzia hebu soma kwa MAKINI sana ushuhuda ufuatao.

  👇👇👇👇👇👇

JINSI UZITO UNAVYOATHIRI UZAZI

Kwanza kabisa naomba ieleweke kuwa tunapozungumzia Uzito hatuna maana ni uzito mkubwa pekee hata uzito mdogo sana pia huathiri uwezekano wa kuweza kubeba mimba.

Ili nieleweke vizuri hapa acha nitumie mfano wa kuku wanaotaga naamini itakuwa rahisi kunielewa.

Mtazame kuku anayetaga huwa hawi mnene sana wala mwembamba sana. Kuku akianza kukonda sana huwa anasimama kabisa kutaga, na vile vile akinenepa sana huwa anataga mayai machache kama hujui hili waulize wafugaji watakuambia.

Ndivyo ilivyo na kwa binadamu anapokuwa mwembamba au mnene sana mwili wake huwa hautengenezi mazingira ya kumpokea mtoto kwa wepesi ukilinganisha na wale wenye miili ya kawaida.

MADHARA YA UZITO MKUBWA

KWA WANAWAKE

  1. Husababisha tatizo la Hormonal Imbalance
  2. Husababisha Hedhi kukosa mpangilio
  3. Husababisha Mayai Kushindwa Kupevuka kwa wakati
  4. Husababisha Mimba Kuharibika
  5. Wengine Hupoteza Hamu ya tendo la ndoa

KWA WANAUME

  1. Husababisha Ubora wa Mbegu Kupungua
  2. Husababisha Mwanaume Kuchoka Haraka wakati wa tendo
  3. Husababisha Maumbile ya Kiume kuonekana Madogo
  4. Husababisha Mwanaume Kutojiamini na kupelekea tatizo la Upungufu wa nguvu la Kiume.

 

SULUHISHO LA UHAKIKA

Sisi TOPTEN HERBS CLINIC tangu mwezi Novemba mwaka 2021 tumeweza kuwasaidia Maelfu ya watu waliokuwa na Changamoto ya Uzito mkubwa kuweza kufikia miili ya ndoto zao kirahisi kabisa kupitia chai Yetu Ya MAAJABU SLIMMING TEA.

Chai hii imetengenezwa kwa ustadi wa hali ya juu sana, yenye ladha nzuri sana, na matokeo ya haraka sana. Unakupunga Uzito wako huku unaenjoy maisha.

Mwili wako ni wa thamani sana haistahili kuutesa hata kidogo… Ndio maana tumekutengenezea Chai hii uweze kutimiza MALENGO yako  ya Kuupata mwili wa Ndoto zako  huku ukiwa na afya njema na ukiwa na FURAHA Tele.

 

FAIDA ZA 10 MAAJABU SLIMMING TEA

  1. Huhitaji Kufanya DIET hata kidogo.
  2. Huhitaji Kufanya Mazoezi Ya aina yoyote Labda kama unapenda kufanya hivo
  3. Hauharishi hata kidogo wala kuutesa mwili wako
  4. Imetengenezwa kuwa kutumia Viungo vya kawaida kabisa
  5. Sio chungu hata Kidogo na Ukiweka Asali inakuwa Tamu kama Chai nyingi.
  6. Imetengenezwa hapa hapa Tanzania
  7. Bei yake ni 50,000/- tu na inatosha kutumika Mwezi Mzima.
  8. Delivery ni FREE kabisa popote Ulipo Tanzania
  9. Ina matokeo ya Haraka sana
  10. Inatumika na watu wa jinsia zote pia ni rahisi sana kuitumia

 

TAZAMA WASEMAVYO WALIOTUMIA CHAI HII 

  

 

 

UNAWEZA KUTAZAMA VIDEO HII PIA KUONA MAJARIBIO TULIYOYAFANYA SISI WENYEWE.  

 

HII NDIO OFISI YETU KUU IPO MBEZI KWA MSUGURI DSM

 

BONYEZA ALAMA YA WHATSAPP CHINI HAPO KUWEKA ODA YAKO

             

  👇👇                       

👆👆

Unaweza kututembelea Ofisini kwetu, Tunapatikana Mbezi Kwa Msuguri DSM na vile vile tuna Tawi Mafinga IRINGA.

 KWA MSAADA WA HARAKA TUPIGIE SIMU HIZI           

 

 

 

 

monperatoto

situs slot terbaik

situs gacor

toto slot

slot gacor

pengeluaran hk

situs toto

situs togel

situs toto

kampungbet

situs togel

toto slot

toto slot

toto slot

slot gacor

kampungbet

situs toto

toto slot

https://ijins.umsida.ac.id/data/

situs toto

toto slot

toto togel

toto slot

bandar togel

kampungbet

toto slot

slot gacor

slot gacor

bento4d

https://polreskedirikota.id/

slot gacor

slot 4d

slot gacor

situs slot gacor

toto slot

situs gacor

situs togel

toto slot

monperatoto

link slot

toto slot

toto togel

situs slot gacor

situs slot

situs slot gacor

kampungbet

situs slot

About the author

Topten Herbs

Topten Herbs ni kituo cha utafiti wa Tiba mbadala zinazoweza kusaidia jamii yetu kujitibia maradhi mbalimbali yanayotukabili kirahisi kabisa kwa kutumia vitu mbalimbali vinavyotuzunguka katika mazingira yetu. Kituo hiki kinapatikana Mbezi kwa Msuguri jijini Dar es Salaam.

View all posts

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *