Kosa la 1: Kudhani “Kupungua” ni Swala la Chakula Gani unakula, Tangu tukiwa wadogo, tumelishwa uongo kwamba ili upungue lazima uache kula vyakula vyako unavyovipenda na kuanza kula vyakula vya gharama kama...
Tag - Kupunguza uzito
Kila siku unaamka na maumivu ya magoti au mgongo? Unachoka haraka hata kwa kazi ndogo tu? Mara kwa mara unaogopa kusikia daktari akikutajia maneno kama Presha, Kisukari au Cholesterol? Kama jibu ni NDIO, basi...
“Mdharau asili, hufa kikatili!” — Hii ni kauli nzito, lakini ina ukweli mkubwa sana ndani yake. Je, unaijua siri iliyojificha kwenye Mwembe Pori? 👇 Kitaalamu unajulikana kama Ozoroa insignis. Huu si mti wa...
“Kupunguza uzito ndio imekuwa habari ya mjini kwa sasa kila mtu anataka kupunguza uzito” Pengine na wewe ni miongoni mwa watu wanaopambana kwa hali na mbali kupunguza Uzito. Lakini Leo napenda...
Leo napenda tujifunze Mambo 10 yanayosababisha wanawake wengi kuchelewa kupata mimba haraka na jinsi ya kutatua changamoto hiyo haraka hapo nyumbani. 1. Umri: Wanawake wenye umri mkubwa wanaweza kukabili ugumu zaidi katika kupata...
Ikiwa unahitaji kufanikiwa kwenye mambo yako unashauriwa kuwa Mapato yako yanayakiwa kuwa makubwa na matumizi yawe madogo. Baada ya muda utajikuta akaunti yako imenona kabisa Na ukitaka kufilisika Kanuni ni hiyo hiyo Matumizi...




