Leo napenda tujifunze Mambo 10 yanayosababisha wanawake wengi kuchelewa kupata mimba haraka na jinsi ya kutatua changamoto hiyo haraka hapo nyumbani. 1. Umri: Wanawake wenye umri mkubwa wanaweza kukabili ugumu zaidi katika kupata...
Tag - Dawa ya Chango
CHANGO la uzazi ni miongoni mwa magonjwa yanayoshambulia viungo vya uzazi vya mwanamke ambapo humsababishia maumivu makali ya tumbo na kushindwa kupata ujauzito, au mimba kuharibika kila zinapoingia. Zipo aina nyingi za chango...