1.Hulka au Maumbile. Kwa asili mwanamke ameumbwa na haya(aibu) ya kuogopa kuvuliwa nguo. Hii ni asili yao hata kama na yeye mwenyewe anahitaji kabisa kukunwa.
2. Kukosa uhuru. Kutokana na tabia hiyo ya kwanza hapo juu wanaume hufikiri wanawake hawataki kushiriki tendo. Hivyo badala ya kutumia lugha laini na tamu wengi hutumia mabavu na kulazimisha kitu ambacho hupelekea mwanamke kukosa kabisa uhuru wa kushiriki tendo
3. Kukosa maandalizi ya kutosha: Kutokana na zile aibu kuelekea tendo humchukua muda mrefu mwanamke akili yake kuzama kwenye mchezo. Hivyo kama hakuna maandalizi ya kutosha kabla ya shughuli yenyewe basi inaweza kuwa ngumu sana kwa mwanamke kufurahia tendo lenyewe.
4. Msongo wa Mawazo. Ili mwanamke aweze kufika kileleni na kufurahi tendo la ndoa anatakiwa kuwa vizuri kimwili na kiakili. Lakini kwa sasa mambo ni tofauti sana unakuta mwanamke ana madeni kama yote huko kwenye vikoba, mtaani, uhakika wa kula mdogo, maelewano ndani ya ndoa yamepungua kutokana na hali za kimaisha. Haya yote yanapelekea akili yake isiwepo mchezoni. Hata kama utamfanya nini akiwa na shida hii ni ngumu sana kumfikisha kileleni
5. Maradhi. Kwa sasa kumekuwa na maradhi mengi sana yanayowasumbua wanawake kama PID sugu, UTI, mvurugiko wa homoni. Mambo haya yanasababishwa mwanamke kutokuwa sawa kimwili na kihisia kwa ajili ya kushiriki tendo la ndoa.
6. Kutojiamini na Ulemavu. Kuna baadhi wameumbwa na ulemavu huo wa kutokuwa na hisia kabisa, wengine huwa wanakosa kujiamini pengine kutokana na maumbile yao yalivyo. Kitu kinachopelekea ashiriki tendo kwa kumridhisha tu Mwanaume lakini sio kwa kupenda yeye mwenyewe.
Je, unahisi una tatizo hili na unahitaji msaada? basi wasiliana nasi kwa +255 676 298 270 au +255 758 298 270