Je, Umetafuta mtoto kwa muda mrefu na bado hujafanikiwa?
Nadhani jibu lako ni NDIYO
Je,Umewahi kujiuliza ni kwa nini unachelewa kufanikiwa?
Je, umeshafanya vipimo muhimu wewe na mwenzi wako kujua changamoto yenu ni nini hasa inayowasababisha mchelewe kupata huyo mtoto kwa haraka?
MZIZI WA TATIZO
Watu wengi sana wanaosumbuliwa na changamoto hii wamekuwa hawana majibu sahihi ya maswali hayo mawili, kitu ninachosababisha kuendelea kupoteza muda na pesa nyingi kwenye vitu ambavyo hata sio sababu za wao kukosa mtoto.
Kwa uzoefu wangu katika kuwasaidia wahanga wa changamoto hii nimegundua kuwa kuna changamoto kubwa 2 zinazowachelewesha wengi.
1.KUSHINDWA KUTUMIA KALENDA VIZURI.
Hii ndio changamoto Babalao, wengi sana hawajui kuhesabu mzunguko wao na kujua ni lini hasa wanaweza kupata mimba.
Ukiwa hujui kuhesabu mzunguko wako maana yake utakuwa unabet tu, na kwenye kubet kuna matokeo mawili kupata au kukosa. Na kwakuwa siku za kukosa katika mwezi ni nyingi zaidi kuliko siku za kupata basi ndio wengi hujikuta waanaza kukata tamaa kwa kukosa.
Kumbe ni jambo jema kujifunza kwanza kuhesabu Mzunguko wako kwa usahihi kabisa, kabla ya kuanza kutafuta mtoto.
Kwa kuwa watu wengi sana mpo busy na harakati za maisha sisi Topten Herbs tunayo huduma ya kukusaidia kuhesabu mzunguko wako na kukupa zile tarehe mahususi ambazo zitakusaidia kuweza kupata mimba kwa urahisi.
Huduma hii unaipata kwa gharama ya Tshs 5,000/- tu. Ili kupata utaratibu kamili wa huduma hii unaweza kuwasiliana nasi kwa +255676298270
2. UZITO USIO WA KAWAIDA.
Wengi wanaokabiliwa na changamoto hii ya kushindwa kupata mimba haraka huwa na uzito mdogo sana au mkubwa sana, Naomba ieleweke kuwa ikiwa uzito wako ni mkubwa kupita kiasi au mdogo sana huwa ni sababu ya kupata tatizo la Hormonal Imbalance.
Hivyo ni vema uwe na uzito unaostahili ili kuongeza nafasi yako ya kufanikiwa haraka kwenye jambo lako. Unaweza kutazama Ushuhuda huu kuhusu uzito
Hata wanaume wanapokuwa na uzito mkubwa Uzalishaji wa Mbegu bora, na zenye afya unapungua kwa asilimia kubwa sana kitu kinachaweza kupelekea kuchelewa kufanikisha kutungisha mimba.
SULUHISHO LA UHAKIKA
Sisi TOPTEN HERBS CLINIC tangu mwezi Novemba mwaka 2021 tumeweza kuwasaidia Maelfu ya watu waliokuwa na Changamoto ya Uzito mkubwa kuweza kufikia miili ya ndoto zao kirahisi kabisa kupitia chai Yetu Ya MAAJABU SLIMMING TEA.
Chai hii imetengenezwa kwa ustadi wa hali ya juu sana, yenye ladha nzuri sana, na matokeo ya haraka sana. Unakupunga Uzito wako huku unaenjoy maisha.
Mwili wako ni wa thamani sana haistahili kuutesa hata kidogo… Ndio maana tumekutengenezea Chai hii uweze kutimiza MALENGO yako ya Kuupata mwili wa Ndoto zako huku ukiwa na afya njema na ukiwa na FURAHA Tele.
FAIDA ZA 10 MAAJABU SLIMMING TEA
- Huhitaji Kufanya DIET hata kidogo.
- Huhitaji Kufanya Mazoezi Ya aina yoyote Labda kama unapenda kufanya hivo
- Hauharishi hata kidogo wala kuutesa mwili wako
- Imetengenezwa kuwa kutumia Viungo vya kawaida kabisa
- Sio chungu hata Kidogo na Ukiweka Asali inakuwa Tamu kama Chai nyingi.
- Imetengenezwa hapa hapa Tanzania
- Bei yake ni 50,000/- tu na inatosha kutumika Mwezi Mzima.
- Delivery ni FREE kabisa popote Ulipo Tanzania
- Ina matokeo ya Haraka sana
- Inatumika na watu wa jinsia zote pia ni rahisi sana kuitumia
Ikiwa unatamani kuipata Chai hii basi wasiliana nasi kwa
+255 676 298 270 au +255 758 298 270