“JE, UNAJUA KWA NINI WATU WENGI WANASHINDWA KUFANIKIWA KWENYE BIASHARA YA SABUNI NA VIPODOZI?”
Kama umewahi kutamani kuanzisha biashara ya sabuni au vipodozi, au tayari unaifanya biashara hiyo, kuna uwezekano mkubwa umekutana na moja ya changamoto hizi:
❌ Unajua kutengeneza bidhaa lakini hujui jinsi ya kuzipa muonekano wa kitaalamu unaovutia wateja.
❌ Unatumia formula za zamani ambazo zinakufanya utumie gharama kubwa kuzalisha huku faida ikiwa ndogo sana.
❌ Hujui namna sahihi ya kupanga bei za bidhaa zako hivyo unajikuta ukifanya kazi nyingi lakini mwisho wa siku faida ni ndogo au hakuna kabisa.
❌ Hujui mahali pa kupata malighafi bora kwa bei nafuu.
❌ Hujui mahali pa kupata vifungashio vya kisasa vinavyoweza kufanya bidhaa zako zionekane kama za kampuni kubwa.
❌ Hujui nani anaweza kukutengenezea lebo nzuri kwa gharama nafuu.
Ukweli ni kwamba watu wengi wanaoshindwa kwenye biashara hii sio kwa sababu hawajui kutengeneza bidhaa…
Wanashindwa kwa sababu hawajui mfumo mzima wa kuigeuza bidhaa kuwa BIASHARA INAYOINGIZA FAIDA.
Ndiyo sababu tumekuandalia kitabu maalum hiki:


Hiki sio kitabu cha kawaida.
Ni mwongozo wa vitendo (Practical Guide) uliotengenezwa kutokana na uzoefu halisi wa uzalishaji wa bidhaa za asili hapa Tanzania.
Mwandishi wa kitabu hiki ni mzalishaji mwenye uzoefu mkubwa katika utengenezaji wa bidhaa mbalimbali za asili na vipodozi, hivyo kile utakachojifunza humu sio nadharia za darasani…
TAZAMA MFANO UFUATAO

Unaweza kutazama video hapo chini uone jinsi ilivyo rahisi kufuata mafundisho yaliyopo kwenye kitabu hiki na kufanya mwenye hapo nyumbani.
Utajifunza mambo halisi yanayofanyika kwenye uzalishaji halisi na biashara halisi kama hivyo . Sio zile stori za Mende kubeba kabati… Hapana
NDANI YA KITABU HIKI UTAJIFUNZA:
✅ Kanuni mbalimbali za kutengeneza sabuni na vipodozi vinavyohitajika sokoni.
✅ Formula mpya 19 ambazo zinakusaidia kuzalisha kwa gharama nafuu huku ukiongeza faida ukiwa na uhakika wa kupata faida.
✅ Jinsi ya kufanya Branding ili bidhaa zako zionekane za kitaalamu na kuaminiwa na wateja.
✅ Mbinu za Marketing zitakazokusaidia kupata wateja na kuongeza mauzo ya bidhaa zako kirahisi kabisa.
✅ Jinsi ya kupanga bei za bidhaa zako kwa usahihi ili usifanye biashara kwa hasara.
✅ Siri za kuboresha ubora wa bidhaa zako ili ziweze kushindana sokoni.
BONUS MAALUM
Mbali na mafunzo hayo yote, ndani ya kitabu hiki pia tumeweka:
🎁 Sehemu mbalimbali zinazouza malighafi za kutengeneza sabuni na vipodozi.
🎁 Sehemu zinazopatikana vifungashio kwa bei nafuu.
🎁 Mawasiliano ya watengenezaji wa lebo (labels) wanaofanya kazi nzuri kwa gharama nafuu.
Kwa kifupi, tumekufupishia safari ambayo ingeweza kukugharimu muda mrefu sana, fedha nyingi sana na makosa mengi ya gharama kubwa.
Taarifa hizi ungeweza kuzitafuta kwa miezi au hata miaka kadhaa kabla ya kuzipata zote sehemu moja.
Lakini leo unaweza kuzipata zote ndani ya kitabu hiki kwa gharama ndogo sana.
OFA MAALUM kwako
Thamani ya maarifa yaliyomo ndani ya kitabu hiki ni kubwa mno kuliko kiasi ambacho wewe unalipia sasa.
Kwa sasa unaweza kukipata kwa OFA MAALUM ya:
🔥 TSH 9,000 TU 🔥
Ndiyo, elfu tisa tu.
Bei ambayo unaweza kuitumia leo na kesho ukaanza kujifunza maarifa yatakayokusaidia kujenga chanzo kipya cha kipato au kuboresha biashara unayofanya tayari.
JINSI UTAKAVYOKIPOKEA KITABU

Kitabu hiki ni SOFTCOPY kipo kwenye mfumo wa PDF. Hivyo utapokea kupitia simu yako(Whatsapp/E-mail) kama hivyo ulivyoona hapo juu.
Na tumekipangilia kwa ubora mkubwa kiasi kwamba ukiamua kukiprint utapata hardcopy yenye muonekano mzuri na rahisi kusoma.
NJIA ZA MALIPO
Tunazo njia tatu za kupokea malipo yetu nazo ni namba mbili za Lipa, hiyo NYEKUNDU ni Lipa namba ya M-PESA na hiyo ya BLUE ni Lipa namba ya TIGOPESA/MIXX BY YAS


Ikiwa huna uzoefu wa kutumia hizi lipa namba basi tuma kawaida kwenye +255 676 298 270 hii niTigopesa/Mixx imesajiliwa kama TOPTEN HERBS
Ikiwa unatamani Kuwasiliana nasi moja kwa moja ili uweze kupata kitabu hiki basi wasiliana nasi kwa +255 676 298 270
Unaweza kupiga kawaida au Whatsapp
