PUNGUZA UZITO KISAYANSI BILA KUUTESA MWILI WAKO

Je, Umechoka Kutesa Mwili Wako Bila Matokeo ya Kudumu?

Watu wengi wanaotaka kupunguza uzito wamekuwa wakipitia mateso makubwa. Wamekuwa wakiipa miili yao mazoezi mazito kupitiliza, kufuata ‘diet’ ngumu za kujinyima chakula, na kutumia madawa mengi yasiyo na athari chanya. Kitu ambacho wengi hawakijui ni kwamba, njia hizi za kikatili zinaongeza stress (msongo wa mawazo) mkubwa kwenye mwili.

Kibaya zaidi, kwa kutofuata miongozo muhimu ya kisayansi, wengi wamejikuta wakipata changamoto kubwa zaidi za kiafya kama vile kuharibu figo, matatizo ya moyo, au kuathiri viungo vingine vya ndani. Kupunguza uzito hakutakiwi kuwa kifungo cha mateso au hatari kwa uhai wako!

  DOWNLOAD KITABU CHA KUPUNGUZA UZITO BURE HAPA

Misingi Miwili Tu ya Kisayansi Unayotakiwa Kujua

Sayansi inathibitisha kuwa ili upungue vizuri, kwa usalama na bila kuteseka, unahitaji kulenga mambo mawili tu:

1. Mfumo wa Metabolism (Mmenyuko wa Chakula)

Umeshawahi kuwaona wale watu wanaokula chakula kingi sana lakini hawanenepi? Siri yao ni kwamba Metabolism Rate yao ipo juu sana (mwili unachoma nishati kwa kasi).

Kinyume chake, wale wanaokula kidogo tu lakini wananenepa kwa kasi, maana yake metabolism yao ipo chini sana na mwili unahifadhi kila kitu kama mafuta.

2. Kukaa Muda Mrefu Bila Kusikia Njaa

Unene ni akiba ya nishati (mafuta) ambayo mwili umeitunza. Kama utakuwa huli mara kwa mara kwa sababu husikii njaa, maana yake mwili utalazimika kuanza kutumia ile akiba (mafuta yaliyotunzwa) ili kupata nishati.

Hapo ndipo mchakato wa kupungua uzito unapotokea kwa njia ya asili kabisa!

Mtego wa “Matokeo ya Haraka” ya Muda Mfupi

Watu wengi wanaotafuta matokeo ya haraka haraka huwa wanatumia njia za mkato ambazo kweli huwapa matokeo ya mwanzo. Lakini pindi wanapoacha tu kutumia njia hizo, matokeo yake huwa ni mabaya zaidi.

Unakuta mtu ananenepa mara dufu ya pale alipoanzia! Ndio maana ukichagua njia ya kupunguza uzito, LAZIMA ihakikishe mambo mawili tu:

Inakufanya ujisikie umeshiba kwa muda mrefu na inaspeed up (inaongeza kasi ya) metabolism yako. Hapo utapungua vizuri bila uhitaji wa mazoezi magumu wala diet ya kujitesa!

Ufumbuzi Wetu: Kutoka Chai ya Maajabu Hadi “ZEBEST SLIMMING CAPSULES”

Mwaka 2021, tuligundua Chai ya Maajabu (Slimming Tea) ambayo imekuwa mkombozi mkubwa sana kwa maelfu ya watu waliokuwa na changamoto ya uzito mkubwa.

Hata hivyo, licha ya utendaji wake mzuri na wenye matokeo makubwa, tuligundua changamoto moja: Watu wengi hasa ambao wapo busy na kazi au wanasafiri mara kwa mara, walishindwa kupata nafasi ya kuiandaa chai hiyo na hivyo kushindwa kuitumia kwa usahihi.

Kutatua changamoto hiyo, sasa tumekuletea ufumbuzi rahisi na wa kisasa zaidi: ZEBEST SLIMMING CAPSULES! Hii ni supplement katika mfumo wa vidonge, ambapo unameza vidonge viwili tu asubuhi na viwili jioni. Zinasafiri na wewe popote ulipo!

Supplement hizi zinasaidia mwili wako kukaa muda mrefu bila kuhisi njaa na zinaongeza kwa kasi metabolism rate yako—ambapo sasa, bila ubishi, lazima upungue!

 DOWNLOAD KITABU CHA KUPUNGUZA UZITO BURE HAPA

 

Ofa Maalum ya Bei (Dozi ya Mwezi Mmoja na Kuendelea)

Wekeza kwenye afya yako leo kwa kuchagua kifurushi kinachokufaa:

Aina ya Bidhaa / Kifurushi Muda Bei ya Kitanzania (TSH)
Chai ya Maajabu (Mfumo wa Unga) Dozi ya Mwezi 1 50,000 /=
ZEBEST SLIMMING CAPSULES (Vidonge) Dozi ya Mwezi 1 60,000 /=
ZEBEST SLIMMING CAPSULES (Dozi ya Miezi 2) Dozi ya Miezi 2 100,000 /= (Okoa 20,000)
ZEBEST SLIMMING CAPSULES (Dozi ya Miezi 3) Dozi ya Miezi 3 140,000 /= (Okoa 40,000!)

 

About the author

Topten Herbs

Topten Herbs ni kituo cha utafiti wa Tiba mbadala zinazoweza kusaidia jamii yetu kujitibia maradhi mbalimbali yanayotukabili kirahisi kabisa kwa kutumia vitu mbalimbali vinavyotuzunguka katika mazingira yetu. Kituo hiki kinapatikana Mbezi kwa Msuguri jijini Dar es Salaam.

View all posts

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *