Je, Unasumbuliwa na Matatizo Yafuatayo?
1.Kiungulia na Tumbo Kujaa Gesi?
2.Kukosa Hamu Ya Kula?
3.Chunusi na Matatizo ya Ngozi yasiyosikia dawa?
4.Maradhi ya Mara kwa Mara?
5.Maumivu ya Kiuno na Mgongo?
6.Umepoteza hamu ya Tendo La ndoa?
7.Tumbo Limekuwa Kubwa Sana na Hujui Chanzo ni nini?
8.Hedhi Yako Imevurugika na Hujui Chanzo Chake?
9.Mtoto Wako amedumaa na Kuwa na Tumbo Kubwa?
Hebu kwanza jiulize ni lini ilikuwa mara yako ya mwisho kunywa dawa za minyoo? Au kumpa mtoto wako dawa za minyoo?
Inawezekana kabisa sababu kuu ya changamoto hizo za kiafya unazozipitia zikawa zimesababishwa na MINYOO tu iliyoko ndani ya mwili wako.
Unapokuwa na minyoo mingi tumboni, ule mfumo wako wa mmeng’enyo wa chakula unakuwa hautendi kazi sawa sawa ndio maana changamoto nyingi huwa zinajitokeza.
Hivyo kabla hujaanza kutumia gharama kubwa kwenye matibabu hebu kwa tumia dawa za minyoo kisha ujitizamie uone kama tatizo litaendelea.
Ikiwa unatamani kupata dawa ya Minyoo ya asili yenye matokeo ya haraka unaweza kuwasiliana nasi kwa +255 676 298 270.
FAIDA YA KUTUMIA DAWA HII
1. Kuondoa Minyoo
2.Kusafisha Mfumo wa Mmeng’enyo wa Chakula
3.Kuondoa Gesi na Maumivu ya Tumbo
4.Kuimarisha Kinga Ya Mwili
Makala hii imeandaliwa na :
Topten Herbs Clinic
Kituo Cha Tiba Mbadala
Kinachopatikana
Mbezi kwa Msuguri DSM na Mafinga Iringa
+255 676 298 270(Mbezi)
+255 757 298 270.(Mafinga)