1.Hulka au Maumbile. Kwa asili mwanamke ameumbwa na haya(aibu) ya kuogopa kuvuliwa nguo. Hii ni asili yao hata kama na yeye mwenyewe anahitaji kabisa kukunwa. 2. Kukosa uhuru. Kutokana na tabia hiyo ya kwanza hapo juu wanaume...
Author - Topten Herbs
Mara nyingi sana wanawake ni watu wenye aibu sana inapokuja suala zima la kushiriki tendo la ndoa na hata wanapokuwa wanatamani kusuguliwa bado huwa ni wagumu sana kuongea hisia zao. Hivyo ukiona dalili zifuatazo basi mtoto wa...
Watu wengi hufanya makosa makubwa sana Kwa kuchanganya tatizo la Upungufu wa Nguvu za Kiume na Kuwahi Kufika KILELENI. Unaposema kuwahi kufika KILELENI ni hali ya kuwahi sana kutoa shahawa!! Tatizo hili Kwa kizungu linaitwa...
Ikiwa unahitaji kufanikiwa kwenye mambo yako unashauriwa kuwa Mapato yako yanayakiwa kuwa makubwa na matumizi yawe madogo. Baada ya muda utajikuta akaunti yako imenona kabisa Na ukitaka kufilisika Kanuni ni hiyo hiyo Matumizi...
Ikiwa unatamani kushika mimba haraka basi anza sasa kutumia kwa wingi vyakula vifuatavyo:- Ndizi mbivuKabejiMachungwa na matunda mengine ya jamii hiiMananasiViazi MviringoViazi vitamuSamaki wabichiMboga za majani...
Upungufu wa nguvu za kiume ni hali ya kushindwa kushiriki tendo la ndoa kwa ukamilifu. Changamoto hii imekuwa ikiongezeka haraka sana katika siku hizi za karibuni na imepelekea wanaume wengi sana kuogopa kuoa. Leo napenda...
Tatizo hili husababishwa na kuzidi kwa homoni ya maziwa inayojulikana kama Prolactin hormone. Homoni hii huwa inakuwepo kwa jinsia zote mbili ila hutofautiana kwa viwango tu kwa mwanaume huwa ipo chini zaidi na mwanamke ambaye...
Tatizo la hili hutofautiana kati ya mtu moja na mwingine lakini kwa ujumla hutokana na kuzidi kwa ute ute(Makamasi) ndani ya mapafu hali inayopelekea mtu kushindwa kupumua vizuri. Zipo dawa nyingi za kutuliza tatizo hili ila tiba...
Ikiwa una tatizo la kupungukiwa damu mara kwa mara na hupendi kuongezewa damu hospitali unatamani kuongeza damu kwa njia za asili basi upo sehemu sahihi kabisa. Mahitaji: (i.) Maziwa fresh ya...
Watu wengi hudhani kama mwanamke hapati ujauzito basi tatizo na lawama zote zitakuwa ni upande wa mwanamke, lakini hilo si lazima mara zote liwe hivyo. Kuna uwezekano mkubwa kuwa tatizo la kutopata mtoto katika familia likawa...








