KUWAHI KUFIKA KILELENI SIO UGONJWA

Watu wengi hufanya makosa makubwa sana Kwa kuchanganya tatizo la Upungufu wa Nguvu za Kiume na Kuwahi Kufika KILELENI.

Unaposema  kuwahi kufika KILELENI ni hali ya kuwahi sana kutoa shahawa!! Tatizo hili Kwa kizungu linaitwa (Premature ejaculation).

Hali hii ya kuwahi kufika Kileleni husababishwa na mambo mengi, Lakini jambo kuu na la kwanza ni Mwanaume kukaa muda mrefu sana bila kushiriki tendo la ndoa.

Mwanaume unapokaa muda mrefu bila kushiriki tendo la ndoa Hisia na hamu ya tendo la ndoa huwa juu sana kitu kinachopelekea Mwanaume kuwahi  sana kufika Kileleni!!!

Hebu tazama mfano wa kawaida wa zile bao ambazo Mwanaume huwa anazitoa Wakati wa tendo la ndoa. 

Goli la Kwanza huwa linawahi sana(watoto wa mjini wanasema linakuwa na kiherehere). 

Goli la Pili huwa linachelewa kiasi ukilinganisha na lile goli la kwanza.

Goli la Tatu huwa linachelewa zaidi na zaidi kuliko goli la kwanza na la pili na kadri unavyopiga goli nyingi zaidi ule muda wa goli kutoka huzidi kuwa mrefu zaidi na zaidi.

Nafikiri umeweze kuelewa Ile concert niliyokupa kuhusu nyege, kadri unavyokuwa hujashiriki tendo Kwa muda mrefu zaidi ndivyo Hisia zinakuwa Kali zaidi na ndivyo uwezekano wa kuwahi kufika Kileleni unakuwa mkubwa zaidi.

Zipo mbinu nyingi sana zinazoweza kumsaidia mwanaume  Mwenye tatizo hili kuweza kuweza litatua changamoto hii.

Peleka moto pole pole. Watu wengi huwa tunafeli Kwa kutaka kujionesha ni vidume sana na kutumia nguvu nyingi na ubabe wa kutosha kwenye tendo hili kitu kinachopelekea kuchemka haraka. Unapokuwa na tatizo hili wewe tembea pole pole mwendo wa Kobe.. wanawake wengi wameonesha kufurahia shughuli za polepole

Chomoa mashine unapobanwa. Hii ni Mbinu nyingine nzuri ya kukusaidia kudumu mchezoni Kwa muda mrefu. Pale unapohitaji wazungu wanakaribia kutoka basi ichomoe mashine na upumzike kidogo kama nusu dakika Hadi dakika Moja.

Tena endelea kupeleka moto ukihisi tena wazungu wanataka kutoka chomoa mashine. Ili usimkwaze mwenza wako Wakati huo umechomoa endelea kumsugua kisimi chake Kwa kutumia mashine yako.. kamwe yeye hawezi kujua kama ulichomoa makusudi Ili upumzike.

Mwagia nje. Hii ni Njia nyingine ya kufanya uendelee na show hata baada ya kumwaga… ukihisi umezidiwa na unataka kumwaga basi ichomoe mashine yako na umwage nje.. ukishamwaga pumzika kama dakika Moja au mbili afu tena mchezoni.

Lakini unaposema UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME ni Ile hali ya Mwanaume Kushindwa kabisa kusimamisha uume yake, au uume kusimama ikiwa legelege sana kiasi cha Kushindwa kumuingilia Mwanamke. Kwa kizungu linaitwa Erectile Dysfunction 

 

VISABABISHI VYA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME.

1.Maradhi. Kwa Sasa kumekuwa na Magonjwa mengi yanayopelekea wanaume wengi kupatwa na tatizo hili la Upungufu wa Nguvu za Kiume. Magonjwa kama Presha, Sukari, kuziba Kwa mishipa inayopeleka damu kwenye uume.

2.Matumizi ya dawa Kwa muda mrefu. Kuna baadhi ya dawa madhara yake ni kupunguza nguvu za Kiume.

3.Umri. Tafiti nyingi zinaonesha kadri umri unavyozidi kuwa mkubwa ndivyo uwezo wa kushiriki tendo la ndoa unavyozidi kupungua 

4.Lishe. Shida hii inawakumba zaidi watu wanaoishi mijini zaidi, maana wao ndio wahanga wakubwa wa vyakula vyenye kemikali nyingi na vyakula visivyo vya Asili.

5.Stress. Sababu hii ya stress imegawanyika katika makundi mawili. 

(a). stress mbalimbali za maisha. Hapa unakuta Mwanaume anakumbwa na mambo mengi sana yanayomkabili… kiasi kwamba sehemu kubwa sana ya akili yake inakuwa inasumbuka Kutatua changamoto hizo na anakosa kabisa muda na hamu ya kushiriki tendo la ndoa.

(b).Stress baada ya kuwahi kufika Kileleni.Hapa unakuta Mwanaume hajiamini kabisa baada ya kukumbwa na changamoto ya kuwahi kufika Kileleni. 

Kwa sababu watu wengi wanaiamini kuwa kuwahi kufika Kileleni ni ugonjwa basi unakuta mwanaume anakosa kujiamini tena mbele ya mwanamke wake.

Sababu hii ndio inawasumbua wanaume wengi sana Kwa Sasa wamepatwa na stress zilizosababishwa na kuwahi kufika Kileleni na mwishowe wamejikuta wamekumbwa na Tatizo la Upungufu wa Nguvu za Kiume.

Na ndio maana Kwa kuzingatia hali hiyo ambayo inasumbua wanaume wengi tuliamua  kuandika kitabu maalumu ambacho kitamsaidia mwanaume mwenye matatizo hayo kuweza kujitibia yeye mwenyewe hapo nyumbani.  

 

Kitabu hiki kina kurasa 74 na kimeeleza kwa kina sana jinsi ya kuweza kutatua changamoto zote zinazomkabili mwanaume kwa kutumia mbinu rahisi sana hapo nyumbani.

Kitabu hiki ni Softcopy hivyo utakipokea kwa WhatsApp au e-mail na bei yake ni sh 5,000/- tu. 

Ikiwa unatamani kukipata kitabu hiki wasiliana nasi kwa +255 758 298 270 au +255 676 298 270 

 

Makala hii imeandikwa na:

Rashid Frances Kihwelo

+255676298270

Mbezi Kwa Msuguri DSM

 

toto slot

toto togel

toto slot

https://polreskedirikota.id/

slot gacor

slot 4d

slot gacor

situs slot gacor

toto slot

situs gacor

situs togel

toto slot

monperatoto

link slot

toto slot

toto togel

situs slot gacor

situs slot

situs slot gacor

kampungbet

situs slot

About the author

Topten Herbs

Topten Herbs ni kituo cha utafiti wa Tiba mbadala zinazoweza kusaidia jamii yetu kujitibia maradhi mbalimbali yanayotukabili kirahisi kabisa kwa kutumia vitu mbalimbali vinavyotuzunguka katika mazingira yetu. Kituo hiki kinapatikana Mbezi kwa Msuguri jijini Dar es Salaam.

View all posts

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *