Upungufu wa nguvu za kiume ni hali ya kushindwa kufanya mapenzi kikamililifu au kushindwa kusimamisha vizuri, shughuli ya tendo la ndoa huhusisha akili, homoni, neva, misuli, hisia na mirija ya damu. Tafiti za hivi karibuni...
Author - Topten Herbs
Wanawake wengi sasa hivi wamekuwa wakibiliwa na changamoto hii ya kupoteza kabisa hamu ya kushiriki tendo la ndoa, hali in- ayopelekea ndoa kugeuka ndoano. Zipo sababu kubwa mbili in- azopelekea tatizo hili (i.) Mahusiano...
Dawa hii ni mahususi kwa wanawake ambao hawajawahi kabisa kupata watoto na hospitalini wameonekana wapo sawa kabisa na wana uwezo wa kuzaa. Dawa hii uwezo wa kusaidia kuweka sawa homoni, kusafisha kizazi, kupevusha mayai haraka...
Njia rahisi na Salama ya kupanga uzazi ni kutumia kopo lenye mfuniko lisilopitisha Mwanga(Non Transparent container), Chukua Pedi au Kitambaa unachovaa mara yako ya kwanza unapoona hedhi, Kikunje vizuri na uhifadhi ndani ya hilo...
Poleni sana wanaume mnaosumbuliwa na tatizo hili nalijua jinsi ambavyo huwa linasumbua unaweza kutamani hata kuzikata nyeti zako. Na inawezekana umeshatumia dawa nyingi sana lakini mafanikio yamekuwa madogo leo napenda ujifunze...
Kuishi na Virusi vya UKIMWI (VVU) ni kama vita vya kila siku—sio tu na afya yako, bali pia na changamoto za kihisia, kijamii, na kifedha ambazo zinakuja nazo. Hapa kuna changamoto tano kubwa zinazowakabili watu wanaoishi na VVU...