Njia rahisi ya Uzazi wa Mpango

Njia rahisi na Salama ya kupanga uzazi ni kutumia kopo lenye mfuniko lisilopitisha Mwanga(Non Transparent container), Chukua Pedi au Kitambaa unachovaa mara yako ya kwanza unapoona hedhi, Kikunje vizuri na uhifadhi ndani ya hilo kopo kisha funga na mfuniko wake. Hifadhi sehemu salama, hakikisha halitofunguliwa na lisipotee. Ikifika muda muda unahitaji kupata mtoto chukua lile kopo lako lifungue na utupe ile pedi au Kitambaa ulichokuwa umehifadhi. Haitopita muda mrefu utapata mimba kwa uwezo wa Mungu.

Naomba ukumbuke kuwa ikitokea umelipoteza kopo hili hakuna dawa wala njia yoyote utakayoweza kuitumia kupata uzazi maishani mwako. Hivyo hakikisha umeliweka sehemu salama na utakayokuwa unaikumbuka.

About the author

Topten Herbs

Topten Herbs ni kituo cha utafiti wa Tiba mbadala zinazoweza kusaidia jamii yetu kujitibia maradhi mbalimbali yanayotukabili kirahisi kabisa kwa kutumia vitu mbalimbali vinavyotuzunguka katika mazingira yetu. Kituo hiki kinapatikana Mbezi kwa Msuguri jijini Dar es Salaam.

View all posts

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *