Dawa hii ni mahususi kwa wanawake ambao hawajawahi kabisa kupata watoto na hospitalini wameonekana wapo sawa kabisa na wana uwezo wa kuzaa. Dawa hii uwezo wa kusaidia kuweka sawa homoni, kusafisha kizazi, kupevusha mayai haraka, kuweka hedhi kwenye mpangilio sahihi na kuongeza ute wa Uzazi.
Mahitaji:
(i.) Mizizi ya aloevera
(ii.) Mizizi ya mpera
(iii.) Mzizi ya mbaazi
(iv.) Mizizi ya mgegele
(v.) Mzizi ya ndulele
(vi.) Mizizi ya mnyaupemba
(vii.) Unga wa ulezi uliooteshwa
Matayarisho na matumizi yake:
Twanga mizizi yote hiyo na uianike juani iakauke kisha isage upate unga wake, tengeneza uji wa unga wa ulezi uliooteshwa kikombe kimoja kisha chukua dawa kijiko kidogo kimoja weka kwenye uji huo na ukoroge vizuri. Mgonjwa anywe uji huo kutwa mara 2 kwa siku 14, hakikisha unakaa saa moja au zaidi baada ya kunywa dawa ndio ule kitu chochote unachokipenda.
Dawa hii itumike mara baada ya kuanza hedhi, pia huruhusiwi kushiriki tendo la ndoa katika wiki ya kwanza ya kutumia dawa hii, Kuanzia siku ya nane endelea kushiriki tendo la ndoa kila siku hadi utakapomaliza dawa hii kwa uwezo wa Mungu utashika mimba,
Ikiwa hukufanikiwa basi unapaswa kurudia dawa hii mara tu unapoona hedhi tena.
Ikiwa unashindwa kutengeneza dawa hii wewe mwenyewe kutokana na sababu mbalimbali basi unaweza kuipata kutoka ofisini kwetu ambayo ipo tayari kwa ajili ya matumizi. Wasiliana nasi kwa +255 676 298 270
Ahsante Kwa mafundisho Bora.