Wanawake wengi sasa hivi wamekuwa wakibiliwa na changamoto hii ya kupoteza kabisa hamu ya kushiriki tendo la ndoa, hali in- ayopelekea ndoa kugeuka ndoano. Zipo sababu kubwa mbili in- azopelekea tatizo hili
(i.) Mahusiano mabovu ndani ya ndoa. Ndoa nyingi hazina furaha, wanawake wananyanyaswa, hawapewi haki zao za msingi ipasavyo kitu kinachopelekea wanawake kukata tamaa ya mahusiano na hivyo kupoteza hata ile hamasa au hamu ya kushiriki hilo tendo sasa hii haina dawa jambo pekee ni kurekebisha mahusiano.
(ii.) Maradhi/Matatizo ya homoni. Kuna wanawake mara baada ya kuugua kwa muda mrefu hupatwa na hili tatizo au wengine wa- nakuwa na homoni chache zile ambazo hichocheza mambo ya mapenzi. Ikiwa tatizo lako lipo kwenye kundi hili la pili basi ten- geneza dawa ifuatayo.
Mahitaji:
(i.) Unga wa kungumanga vijiko vikubwa viwili
(ii.) Unga wa mzuki zuki vijiko vikubwa viwili
(iii.) Unga wa tangawizi vijiko vikubwa 4
(iv.) Unga wa pilipili mtama vijiko vikubwa viwili
(v.) Unga wa Manjano vijiko vikubwa 8
(vi.) Unga wa mdalasini wa india vijiko vikubwa 4
(vii.) Asali mbichi lita moja.
Matayarisho na matumizi yake:.
Changanya vitu vyote kwenye chombo kikubwa na ukoroge vizuri. Mgonjwa anatakiwa kutumia kijiko kikubwa kimoja asubuhi na kingine jioni, kwa siku kumi mfululizo kuanzia anapomaliza Hedhi. Ikiwa tatizo lako ni la muda mrefu unaweza kutumia dawa hii kwa siku 30. Kumbuka kuzingatia utaratibu wa kula katika kipindi chote cha matumizi ya dawa hii.
Ikiwa sehemu ulipo sio rah
Hello,
Naomba kujua unga wa mzuki zuki..ndo unga gani?!
Nenda kwenye maduka ya dawa za kisunna utapata