Tatizo hili husababishwa na kuzidi kwa homoni ya maziwa inayojulikana kama Prolactin hormone. Homoni hii huwa inakuwepo kwa jinsia zote mbili ila hutofautiana kwa viwango tu kwa mwanaume huwa ipo chini zaidi na mwanamke ambaye...
Tag - dawa ya homoni
Dawa hii ni mahususi kwa wanawake ambao hawajawahi kabisa kupata watoto na hospitalini wameonekana wapo sawa kabisa na wana uwezo wa kuzaa. Dawa hii uwezo wa kusaidia kuweka sawa homoni, kusafisha kizazi, kupevusha mayai haraka...