Ikiwa unatamani kushika mimba haraka basi anza sasa kutumia kwa wingi vyakula vifuatavyo:- Ndizi mbivuKabejiMachungwa na matunda mengine ya jamii hiiMananasiViazi MviringoViazi vitamuSamaki wabichiMboga za majani...
Tag - homoni za uzazi
Tatizo hili husababishwa na kuzidi kwa homoni ya maziwa inayojulikana kama Prolactin hormone. Homoni hii huwa inakuwepo kwa jinsia zote mbili ila hutofautiana kwa viwango tu kwa mwanaume huwa ipo chini zaidi na mwanamke ambaye...
Kwa mwanamke yeyote aliyekamilika vizuri kupata hedhi ni jambo la lazima, ila siku hizi kumekuwa na changamoto nyingi sana kuhusu hedhi, kuna baadhi ya wanawake hawapati kabisa hedhi kwa miezi kadhaa, wengine wanapata lakini sio...
Dawa hii ni mahususi kwa wanawake ambao hawajawahi kabisa kupata watoto na hospitalini wameonekana wapo sawa kabisa na wana uwezo wa kuzaa. Dawa hii uwezo wa kusaidia kuweka sawa homoni, kusafisha kizazi, kupevusha mayai haraka...