Kwa mwanamke yeyote aliyekamilika vizuri kupata hedhi ni jambo la lazima, ila siku hizi kumekuwa na changamoto nyingi sana kuhusu hedhi, kuna baadhi ya wanawake hawapati kabisa hedhi kwa miezi kadhaa, wengine wanapata lakini sio kwa mpangilio maalumu yaani inajitokea tu inavyotaka yenyewe na wengine ndio wapata mara nyingi sana kwa mwezi kitu ambacho sio kawaida. Ikiwa unakabiliwa na shida yoyote kuhusu hedhi yako basi dawa hii ninayokufundisha hapa leo ndio kiboko yake.
Mahitaji:
Mizizi ya mpera
Matayarisho na matumizi yake:
Chemsha mzizi hiyo kwenye maji ya lita moja na nusu kwa dakika 15 kisha epua na uache ipoe
Mgonjwa anywe nusu kikombe cha chai kutwa mara 2 kwa muda wa siku 3 hadi 5. Kisha arudi zoezi hili baada ya wiki 2 atakuwa amepona.
Mara nyingi matatizo haya ya hedhi husababishwa na matumizi ya njia za uzazi wa mpango za kisasa, matumizi ya vipodozi vyenye ziambata vya sumu, ulaji mkubwa wa bidhaa za viwandani na mengine mengi. Jitahidi sana kuyaepuka mambo haya ili uwe salama mwenye afya njema siku zote za maisha yako.