Poleni sana wanaume mnaosumbuliwa na tatizo hili nalijua jinsi ambavyo huwa linasumbua unaweza kutamani hata kuzikata nyeti zako. Na inawezekana umeshatumia dawa nyingi sana lakini mafanikio yamekuwa madogo leo napenda ujifunze dawa hii rahisi ila huwa inawasha kiasi kwa siku mbili au tatu za mwanzo ila baadae mambo huwa mazuri sana.
Mahitaji:
(i.) Mafuta ya nyoyo (ii.) Kitunguu saumu (iii.) Aloe vera
Matayarisho na matumizi yake:
Chukua kitunguu saumu na aloe vera na uvisage kwa pamoja kisha viweke kwenye mafuta ya nyonyo na uchemshe kwa pamoja kwa dakika 5, epua na acha yapoe na uyachuje, mgonjwa anatakiwa kupaka mafuta hayo kutwa mara mbili kwa siku 5 hadi saba.
Dawa ya fangasi naweza kuipata
Ndio unaweza kuipata, wasiliana nasi kwa +255676298270