Dawa ya Kifafa

Kwa kifupi naweza kusema Kifafa ni degedege kubwa. Ni ugonjwa unasababisha mtu anadondoka na kupoteza fahamu kabisa, japo hadi sasa hakuna jibu la moja kwa moja kuwa tatizo hilo husababishwa na kitu gani, kila jamii imekuwa na utaratibu wake wa kupambana na tatizo hili ila njia ambayo imekuwa ikitumia katika jamii nyingi na kuonesha matokeo mazuri ni matumizi ya Ngulukila (Parasite Plant).

Ngulukila (Parasite Plant) ni mimea ambayo huota juu ya mmea mwingine na majani yake huwa ni mapana kama mtopetope pori. Sasa unatakiwa kutwanga majani hayo na kuyaloweka kisha mgonjwa anywe kikombe kimoja kutwa mara tatu kwa siku 10 hadi 21 kwa uwezo wa Mungu atakuwa amepona kabisa,

Ikiwa tatizo hili ni la muda mrefu sana basi mgonjwa anatakiwa kutapishwa kwanza ndio aendelee na matibabu haya. Utaratibu wa Kumtapisha ni uleule unaotumika kwa mtu wa Pumu

Ikiwa unapata shida kuitengeneza dawa hii basi uwe huru kuwasiliana nami ili uweze kuipata kutoka kwangu, unaweza kuwasiliana nami kwa +255 676 298 270

Tazama video yake hapo chini kwa Ufafanuzi Zaidi

About the author

Topten Herbs

Topten Herbs ni kituo cha utafiti wa Tiba mbadala zinazoweza kusaidia jamii yetu kujitibia maradhi mbalimbali yanayotukabili kirahisi kabisa kwa kutumia vitu mbalimbali vinavyotuzunguka katika mazingira yetu. Kituo hiki kinapatikana Mbezi kwa Msuguri jijini Dar es Salaam.

View all posts

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *