Dawa ya Moyo

Matatizo ya moyo yamekuwa yakiongezekana sana siku hizi kutokana na matumizi mengi ya bidhaa zinazotengenezwa viwandani na matumizi ya vyakula vyenye kemikali . Njia rahisi ya kurekebisha tatizo hili ni kujitahidi kula vyakula vya asili na kujiepusha na bidhaa za viwandani kwa kadri tuwezavyo. Ikiwa unasumbuliwa na tatizo lolote la moyo basi dawa yake ni

Mahitaji:

Majani ya Pasheni(Passion Leaves)

Matayarisho na matumizi yake:

Twanga majani hayo na uyaloweke, mgonjwa anywe kikombe cha chai kutwa mara 3 kwa siku 21 mpaka 30. Ikiwa kupata majani ni vigumu basi twanga majani hayo na uyaanike kisha mgonjwa awe anatumia kijiko kile kidogo anaweka kwenye maji ya moto kabisa kikombe cha chai akoroge vizuri aache ipoe afu anywe… anatakiwa kunywa kutwa mara 2 kwa siku 21 hadi 30.

About the author

Topten Herbs

Topten Herbs ni kituo cha utafiti wa Tiba mbadala zinazoweza kusaidia jamii yetu kujitibia maradhi mbalimbali yanayotukabili kirahisi kabisa kwa kutumia vitu mbalimbali vinavyotuzunguka katika mazingira yetu. Kituo hiki kinapatikana Mbezi kwa Msuguri jijini Dar es Salaam.

View all posts

3 Comments

  • Nashukuru kwa kupata maelekezo ya majani ya pasheni kwa ya matatizo ya moyo, Mie Nina presha na moja umetanuka. Nitafuata maelekezo yako

  • Ndugu zangu habari za kazi. Nashukuru kwa matangazo yenu yanayotufanya wengi tu we na nia ya kuwatafuta. Mimi naomba namba yenu ya WhatsApp ili niweze kupata mazungumzo ya moja kwa moja tafadhali. Namba yangu ya wasap ni +1 253 487 4133 nataka niongee na anayefundisha kwenye You-tube.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *