Dawa hii inaweza kumsaidia mgonjwa yeyote ambaye kinga mwili yake imeshindwa kabisa kupambana na maradhi yanayosumbua hata kama amechoka kiasi gani anachotakiwa ni kujitahidi kunywa kwa utaratibu uliowekwa na baada ya muda mfupi atakuwa amekaa vizuri kabisa
Mahitaji:
(i.)Tangawizi robo kilo
(ii.)Kitunguu saumu robo Kilo
(iii.)Karoti robo kilo
(iv.)Aloe vera majani makubwa 4
(v.)Malimao saizi ile kubwa 6
Matayarisho na matumizi yake:
Osha vitu vyote na uvikatekate vipande vidogo vidogo sana, weka maji lita 6 na uchemshe. Chemsha kama inavochemka chai tu afu itoe kwenye moto na ufunike hadi ipoe kabisa, baada ya hapo chu ja na uhifadhi maji hayo kwenye friji.
Mgonjwa anatakiwa kuwa nusu kikombe cha chai kutwa mara 3 kwa siku 12 au 13. Baada ya hapo anaweza kuwa anarudi dawa hii kila baada ya miezi mitatu au zaidi kwa kadri anavyoona inafaa.
Ikiwa unataka kupona kabisa tatizo hili basi unatakiwa kutumia dawa hii kwa siku 45 mfululizo kisha endelea kufuata utaratibu wa kula kama nilivyoelekeza kwenye sura ya kwanza ya Kitabu hiki kwa miezi 9 hadi mwaka 1 utakuwa huru kabisa kutoka kwenye mtego huu wa HIV/AIDS