Upungufu wa nguvu za kiume ni hali ya kushindwa kufanya mapenzi kikamililifu au kushindwa kusimamisha vizuri, shughuli ya tendo la ndoa huhusisha akili, homoni, neva, misuli, hisia na mirija ya damu. Tafiti za hivi karibuni zinaonesha kuwa kati ya wanaume watano (5) basi mmoja kati yao ana tatizo la upungufu wa nguvu za kiume.
Zipo njia nyingi sana unaweza kutumia kutatua changamoto hii ukiwa nyumbani kwako bila kutumia gharama kubwa. Lakini mchanganyiko wa asali, tangawizi, na vitunguu saumu umeonesha matokeo mazuri zaidi.
Mahitaji:
(i.) Asali Lita 1 (Hakikisha ni Asali Mbichi)
(ii.) Tangawizi robo kilo
(iii.) Vitunguu saumu robo kilo .
Matayarisho na matumizi yake:
Twanga vitunguu na tangawizi kwa pamoja kisha changanya na asali yako. Dawa yako itakuwa tayari kwa matumizi.
Tumia vijiko viwili vya chakula asubuhi na jioni kwa wiki 3 hadi mwezi kwa uwezo wa Mungu mambo yatakuwa mazuri kabisa.
Zingatia: Usishiriki tendo la ndoa kwa siku 3 za mwanzo.