Mambo saba(7) yanayopunguza nguvu za Kiume

Upungufu wa nguvu za kiume ni hali ya kushindwa kushiriki tendo la ndoa kwa ukamilifu. Changamoto hii imekuwa ikiongezeka haraka sana katika siku hizi za karibuni na imepelekea wanaume wengi sana kuogopa kuoa.

Leo napenda nikukumbushe Mambo yanayopelekea vijana wengi kuwa na tatizo hili la upungufu wa nguvu za kiume. Mambo yenyewe ni haya yafuatayo.

  • Uzito uliopitiliza.
  • Lishe Duni
  • Kutofanya Mazoezi
  • Kutolala muda wa kutosha
  • Kutokunywa Maji ya Kutosha
  • Ulevi
  • Migogoro kwenye Mahusiano

Ikiwa na wewe ni Mhanga wa Tatizo hili la upungufu wa nguvu za Kiume ni vema kutazama kwa makini ni jambo kati hayo niliyokutajia hapo juu na ujaribu kulifanyia kazi kwa bidii kadri uwezavyo utaona mambo yako yamekuwa sawa kabisa.

Vyakula vinavyoongeza nguvu za Kiume haraka

Ikiwa tayari umegundua chanzo kikuu cha tatizo lako na unapenda tatizo hili likuondoke mapema basi ni vema sana ujitahidi kula vyakula vifuatavyo mara kwa Mara

Parachichi

Ndani ya tunda hili kuna mafuta, Vitamin B6 na Folic Acids kwa wingi sana. Tunda hili huupa mwili nguvu za kutosha sana na hii Vitamin B6 husaidia sana kutengeneza hormone nyingi za kiume zinazoitwa testosterone ambazo ndizo humfanya mwanaume kuwa na nguvu za kiume za kutosha sana.

Tikiti Maji

Hili pia ni tunda zuri sana kwa mwanaume na ni vema pia wakati unakula tunda hili ujitahidi kutafuna na Mbegu zake kabisa. Hizi mbegu zina madini mengi sana ya Zinc ambayo husaidia kuongeza uzalishaji wa homoni zinazoongeza hamu ya tendo la ndoa kwa Mwanaume.

Ndizi Mbivu

Katika tafiti nyingi zilizofanywa ndizi zimeonesha uwezo mkubwa sana wa kumsaidia mwanaume kurejesha urijali wake haraka sana. Mtu mwenye tatizo la nguvu za kiume anapaswa kula ndizi zilizoiva mara kwa mara na ataona taratibu tatizo lake linapungua na mwishowe litakwisha kabisa.

Mboga za Majani hasa Spinach

Hataka kama uwezo wako umepungua kiasi gani wewe jitahidi kula kwa wingi mboga hii au ikiwa eneo ulipo sio rahisi kupata aina hii ya mboga basi wewe jitahidi kula mboga za Majani kwa wingi utaona shida yako inakwisha kabisa

Mafuta ya Zeituni

Mafuta haya husaidia kuongeza mzunguko wa damu mwili kitu ambacho hufanya mwili kuwa na nguvu za kutosha muda wote. Lakini mafuta haya yatakusaidia kukulinda na Maradhi ya Moyo pamoja na kansa ya utumbo mpana.

Ikiwa tatizo lako limekuwa la muda mrefu na unahitaji msaada wa moja kwa moja kutoka kwa basi usisite unaweza kuwasiliana nami kupitia +255 676 298 270 ili uweze kupata dawa za asili za kutibia kabisa shida hiyo.

toto slot toto togel toto slot https://polreskedirikota.id/ slot gacor slot 4d slot gacor situs slot gacor toto slot situs gacor situs togel toto slot monperatoto link slot toto slot toto togel situs slot gacor situs slot situs slot gacor kampungbet situs slot

About the author

Topten Herbs

Topten Herbs ni kituo cha utafiti wa Tiba mbadala zinazoweza kusaidia jamii yetu kujitibia maradhi mbalimbali yanayotukabili kirahisi kabisa kwa kutumia vitu mbalimbali vinavyotuzunguka katika mazingira yetu. Kituo hiki kinapatikana Mbezi kwa Msuguri jijini Dar es Salaam.

View all posts

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *