Dawa ya Pumu

Tatizo la hili hutofautiana kati ya mtu moja na mwingine lakini kwa ujumla hutokana na kuzidi kwa ute ute(Makamasi) ndani ya mapafu hali inayopelekea mtu kushindwa kupumua vizuri. Zipo dawa nyingi za kutuliza tatizo hili ila tiba pekee na ya uhakika ni kumtapisha mgonjwa ili kuondoa makamasi hayo yote kutoka kwenye mapafu na hapo mgonjwa atakuwa salama.

Hakikisha anayetapishwa asiwe mtoto mdogo, asiwe mtu mwenye kifafa, asiwe mtu dhaifu kiafya,maana mgonjwa huwa anatapika kwa muda mrefu sana hivo ikiwa atakuwa kwenye hayo makundi niliyoyataja hapo inaweza kuleta madhara.

Mahitaji:

(i.) Mbegu kubwa za nyonyo punje 6

(ii.) Majani kama kamba kamba ambayo hutanda juu ya miti hasa sehemu za pwani

Matayarisho na matumizi yake:

Chukua kamba kamba hizo kidogo na uzitwange pamoja na mbegu hizo kisha uziloweke kwenye maji kikombe kimoja cha chai.

Hakikisha unaloweka jioni zilale huko halafu asubuhi kabla ya jua kutoka chuja vizuri kisha mgonjwa wako anywe, baada ya muda kidogo ataanza kutapika usiogope muache atapike hadi uone ameanza kutapika makamasi kama mlenda hivi.

Ukiona mgonjwa amechoka sana basi chukua kitu chochote cha baridi kabisa mpe anywe ataacha kutapika mara moja. Kisha muandalie uji mwepesi au chakula kingine laini, mpe ale kisha mtizamie kwa wiki mbili au mwezi. Ukiona kama bado anasumbuliwa kidogo unaweza kurudia zoezi hilo tena, ila kama ukizingatia maelekezo haya akipona anakuwa amepona jumla.

Unaweza kutazama video hapo chini kwa Ufafanuzi zaidi

slot 4d toto slot situs gacor link slot toto slot kampungbet

About the author

Topten Herbs

Topten Herbs ni kituo cha utafiti wa Tiba mbadala zinazoweza kusaidia jamii yetu kujitibia maradhi mbalimbali yanayotukabili kirahisi kabisa kwa kutumia vitu mbalimbali vinavyotuzunguka katika mazingira yetu. Kituo hiki kinapatikana Mbezi kwa Msuguri jijini Dar es Salaam.

View all posts

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *