Ikiwa una tatizo la kupungukiwa damu mara kwa mara na hupendi
kuongezewa damu hospitali unatamani kuongeza damu kwa njia za asili basi upo sehemu sahihi kabisa.
Mahitaji:
(i.) Maziwa fresh ya ng’ombe
(ii.) Asali mbichi
(iii.) Yai moja la kienyeji
Matayarisho na matumizi yake:
Chukua kikombe kimoja cha maziwa fresh yaliyochemka vizuri ki- sha weka kile kiini cha yai la kienyeji halafu weka vijiko viwili vya asali, koroga vizuri kabisa na mgonjwa anywe kutwa mara 3 kwa siku 3 hadi 5, damu itakuwa imepanda vizuri kabisa. Ikiwa sehemu uliyopo ni vigumu kupata vitu hivyo nilivyokutajia basi chemsha maua ya rosella au mvunge.
kampungbet