Wanawake wengi hukumbwa na kadhia hii ya kutema tema mate sana wakati wa ujauzito kitu ambacho hugeuka kero kwao wenyewe au wenza wao. Njia rahisi ya kuondoa kadhia ni
Mahitaji
Tangawizi au Karoti
Matayarisho na matumizi yake:
Katakata Tangawizi au Karoti kwenye vipande vidogo vidogo kisha uwe unaweza mdomoni bila kutafuna, kaa nacho kwa Masaa kadhaa kisha weka kingine. Fanya zoezi hilo hadi utakapoona Kichefuchefu kimeisha, ndani ya siku 3 hadi 5 utakuwa umepona kabisa.