Wanawake wengi hukumbwa na kadhia hii ya kutema tema mate sana wakati wa ujauzito kitu ambacho hugeuka kero kwao wenyewe au wenza wao. Njia rahisi ya kuondoa kadhia ni Mahitaji Tangawizi au Karoti Matayarisho na matumizi...
Tag - kichefuchefu kwa mjamzito
Wanawake wengi sana huwa wanakumbwa na tatizo la kuwa na kichefuchefu kinachowapelekea kutapika sana hasa katika wiki 12 za mwanzo za ujauzito. Hali ambayo hupelekea wengi wao kudhoofika sana kipindi hicho. Mara nyingi sana...