Wanawake wengi sana huwa wanakumbwa na tatizo la kuwa na kichefuchefu kinachowapelekea kutapika sana hasa katika wiki 12 za mwanzo za ujauzito. Hali ambayo hupelekea wengi wao kudhoofika sana kipindi hicho. Mara nyingi sana hospitali huwa hawana tiba ya uhakika ya tatizo hilo lakini linatibika kabisa kwa dawa zetu za kienyeji
Mahitaji
Mizizi ya Nyanya Maji
Matayarisho na matumizi yake:
Chukua kiasi kidogo cha mizizi hiyo kisha ichemshe kwa dakika 20 hadi 30 kisha iache ipoe, Mjamzito anatakiwa kunywa nusu kikombe cha dawa hiyo kutwa mara 2 kwa siku 5 hadi 7. Baada ya kumaliza dozi hiyo atakuwa amepona kabisa tatizo hilo.
Unaweza kutazama video hapo chini kwa Ufafanuzi Zaidi