Mkanda wa jeshi(Shingles) ni jina linalotumika sana mitaani kuutaja ugonjwa unaoshambulia ngozi na kujenga tabaka la vijipele vikubwa vyenye majimaji ambavyo mara nyingi hutokea upande mmoja wa mwili. Ingawa vipele hivi huweza kutokea sehemu yoyote ya mwili lakini mara nyingi hutokea kifuani, shingoni, usoni, mgongoni na mikononi. Tatizo hili mara nyingi huwapata watu wenye umri mkubwa na watu wanaosumbuliwa na matatizo yanayopunguza kinga mwili. Nafikiri tumeelewana vizuri sasa twende kwenye Matibabu yake
Mahitaji:
Ua la ndizi
Matayarisho na matumizi yake:
Katakata ua hilo na ulichome upate majivu yake kisha changanya majivu hayo na mafuta ya kupaka.
Mgonjwa ajipakaze dawa hiyo kwenye sehemu zote alizoungua, anaweza kupaka kutwa mara 2 au hata zaidi
slot 4d toto slot situs gacor link slot toto slot kampungbet