Watu wengi hudhani kama mwanamke hapati ujauzito basi tatizo na lawama zote zitakuwa ni upande wa mwanamke, lakini hilo si lazima mara zote liwe hivyo. Kuna uwezekano mkubwa kuwa tatizo la kutopata mtoto katika familia likawa...
Category - WANAUME
Mkanda wa jeshi(Shingles) ni jina linalotumika sana mitaani kuutaja ugonjwa unaoshambulia ngozi na kujenga tabaka la vijipele vikubwa vyenye majimaji ambavyo mara nyingi hutokea upande mmoja wa mwili. Ingawa vipele hivi huweza...
Neno U.T.I ni kufupisho cha maneno Urinary Tract Infections ikiwa na maana maambukizi kwenye njia ya mkojo na mfumo wake. U.T.I husababishwa na wadudu wadogo sana ambao ni bacteria waitwao Escherichia coli (E. Coli) ambao huingia...
Mahitaji: (i.) Asali kikombe robo lita (250mls ) (ii.) Vitunguu maji vikubwa Vitatu Matayarisho na matumizi yake: Saga vitunguu vyako viwe kama uji kisha changanya na asali yako Kwa Mtu Mzima: Kula vijiko viwili...
Je, Unajua Bawasiri/Hemorrhoids Ni Nini? Ni ugonjwa unaotokana na kuathirika kwa mishipa ya damu ya ndani na nje ya sehemu ya haja kubwa na wakati mwingine mishipa hiyo huweza kupasuka/kuteleza na kuvuja damu kwenye njia ya...
Kabla sijazungumzia tiba ya tezi dume napenda kwa ufahamu japo kwa ufupi tezi dume ni nini? Maana wengi wetu tukisikia neno hilo huwa tunafikiria ni ugonjwa kitu ambacho sio ukweli hata kidogo. Ukisikia tezi dume naomba...
Ini ni ogani muhimu sana kwenye mwili wetu ni kama ofisi ya Uhamiaji katika nchi. Hapa ndipo ambapo vitu mbalimbali hukaguliwa kabla ya kuingia kwenye mzunguko wa damu. Ikiwa ini lako lina matatizo basi itakuwa rahisi kwa vitu...
Napenda nianze kwa kukupa pole wewe unae amini kuwa presha ni ugonjwa pole sana, maana kufikiria hivo tu ndio ugonjwa wenyewe. Hebu turudi nyuma kidogo, ikiwa una mgonjwa ambae haongei wala hawezi kufanya kitu chochote njia pekee...
Matatizo ya moyo yamekuwa yakiongezekana sana siku hizi kutokana na matumizi mengi ya bidhaa zinazotengenezwa viwandani na matumizi ya vyakula vyenye kemikali . Njia rahisi ya kurekebisha tatizo hili ni kujitahidi kula vyakula...
Kwa kifupi naweza kusema Kifafa ni degedege kubwa. Ni ugonjwa unasababisha mtu anadondoka na kupoteza fahamu kabisa, japo hadi sasa hakuna jibu la moja kwa moja kuwa tatizo hilo husababishwa na kitu gani, kila jamii imekuwa na...