Dawa hii inaweza kumsaidia mgonjwa yeyote ambaye kinga mwili yake imeshindwa kabisa kupambana na maradhi yanayosumbua hata kama amechoka kiasi gani anachotakiwa ni kujitahidi kunywa kwa utaratibu uliowekwa na baada ya muda mfupi...
Category - WANAUME
Minyoo huishi ndani ya matumbo yetu, na inakadiriwa kuwa karibu 25% ya watu wote duniani wanakabiliwa na tatizo na maambukizi hutokea kwa njia ya kula chakula kilichoathiriwa na kinyesi chenye mayai ya minyoo aina ya askaris...
Vidonda vya tumbo ni miongoni mwa magonjwa ya mfumo wa mmeng’enyo wa chakula katika mwili wa binadamu. Hivi ni vidonda ambavyo vinapatikana ndani ya tumbo la binadamu na huwapata sanasana watu wazima kuliko watoto wadogo. Mara...
Upungufu wa nguvu za kiume ni hali ya kushindwa kufanya mapenzi kikamililifu au kushindwa kusimamisha vizuri, shughuli ya tendo la ndoa huhusisha akili, homoni, neva, misuli, hisia na mirija ya damu. Tafiti za hivi karibuni...
Poleni sana wanaume mnaosumbuliwa na tatizo hili nalijua jinsi ambavyo huwa linasumbua unaweza kutamani hata kuzikata nyeti zako. Na inawezekana umeshatumia dawa nyingi sana lakini mafanikio yamekuwa madogo leo napenda ujifunze...
Kuishi na Virusi vya UKIMWI (VVU) ni kama vita vya kila siku—sio tu na afya yako, bali pia na changamoto za kihisia, kijamii, na kifedha ambazo zinakuja nazo. Hapa kuna changamoto tano kubwa zinazowakabili watu wanaoishi na VVU...