Dawa ya Homa Ya Ini

Ini ni ogani muhimu sana kwenye mwili wetu ni kama ofisi ya Uhamiaji katika nchi. Hapa ndipo ambapo vitu mbalimbali hukaguliwa kabla ya kuingia kwenye mzunguko wa damu. Ikiwa ini lako lina matatizo basi itakuwa rahisi kwa vitu vibaya na vyenye kudhuru kuingia kwenye mfumo wa damu na kusambazwa katika maeneo mengine ya mwili na mwishowe kukuleta athari kubwa sana. Ikiwa unasumbuliwa na tatizo lolote la ini basi tengeneza dawa ifuatayo

Mahitaji:

i.) Unga wa majani ya mmea uitwao Phyllanthus vijiko 12 vikubwa

(ii.) Unga wa matawi ya masongwe (Golden Berries Stem) vijiko vikubwa 8

(iii.) Unga wa mizizi ya Aloe vera vijiko vikubwa 8

(iv.) Unga wa manjano vijiko vikubwa 8

Matayarisho na matumizi yake:

Changanya vitu vyote kwa pamoja hadi uwe mchanganyiko mmoja kabisa, mgonjwa anatakiwa kuchukua dawa hii kijiko kidogo kimoja kisha aiweke kwenye maji ya moto kabisa akoroge vizuri na aache ipoe kisha anywe, afanye zoezi hili kutwa mara 2 kwa siku 60 hadi 120 inategemea na uwingi wa Virusi katika mwili wako.

Ikiwa unapata changamoto kuandaa dawa hii uwe huru kuwasiliana nami ili uweze kuipata iliyokuwa tayari kabisa kwa matumizi unaweza kuwasiliana nami kwa +255 676 298 270

About the author

Topten Herbs

Topten Herbs ni kituo cha utafiti wa Tiba mbadala zinazoweza kusaidia jamii yetu kujitibia maradhi mbalimbali yanayotukabili kirahisi kabisa kwa kutumia vitu mbalimbali vinavyotuzunguka katika mazingira yetu. Kituo hiki kinapatikana Mbezi kwa Msuguri jijini Dar es Salaam.

View all posts

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *