“JE, UNAJUA KWA NINI WATU WENGI WANASHINDWA KUFANIKIWA KWENYE BIASHARA YA SABUNI NA VIPODOZI?” Kama umewahi kutamani kuanzisha biashara ya sabuni au vipodozi, au tayari unaifanya biashara hiyo, kuna uwezekano mkubwa...
Category - TIBA MBADALA
Trichodesma zeylanicum (kwa Kiingereza inajulikana zaidi kama African borage, Camel bush, au Cattle bush) ni mmea wa porini unaopatikana kwa wingi katika maeneo ya kitropiki na nusu-kitropiki, ikiwemo Afrika Mashariki (Tanzania...
Maganda ya machungwa yana faida nyingi sana na makubwa kiafya na kiuchumi, kiasi kwamba mara nyingi huwa tunatupa sehemu yenye virutubisho vingi kuliko hata tunda lenyewe! Maganda haya yana kiasi kikubwa cha vitamin C, nyuzi...
“Mdharau asili, hufa kikatili!” — Hii ni kauli nzito, lakini ina ukweli mkubwa sana ndani yake. Je, unaijua siri iliyojificha kwenye Mwembe Pori? 👇 Kitaalamu unajulikana kama Ozoroa insignis. Huu si mti wa...
Tangawizi ni moja ya viungo vyenye nguvu kubwa ya kitabibu na vimekuwa vikitumika kwa karne nyingi kutibu na kukinga magonjwa mbalimbali. Hapa kuna faida kuu za tangawizi mwilini: 1. Kuboresha...
Je, Unasumbuliwa na Matatizo Yafuatayo? 1.Kiungulia na Tumbo Kujaa Gesi? 2.Kukosa Hamu Ya Kula? 3.Chunusi na Matatizo ya Ngozi yasiyosikia dawa? 4.Maradhi ya Mara kwa Mara? 5.Maumivu ya Kiuno na Mgongo? 6.Umepoteza hamu ya...
Tatizo hili husababishwa na kuzidi kwa homoni ya maziwa inayojulikana kama Prolactin hormone. Homoni hii huwa inakuwepo kwa jinsia zote mbili ila hutofautiana kwa viwango tu kwa mwanaume huwa ipo chini zaidi na mwanamke ambaye...
Tatizo la hili hutofautiana kati ya mtu moja na mwingine lakini kwa ujumla hutokana na kuzidi kwa ute ute(Makamasi) ndani ya mapafu hali inayopelekea mtu kushindwa kupumua vizuri. Zipo dawa nyingi za kutuliza tatizo hili ila tiba...
Ikiwa una tatizo la kupungukiwa damu mara kwa mara na hupendi kuongezewa damu hospitali unatamani kuongeza damu kwa njia za asili basi upo sehemu sahihi kabisa. Mahitaji: (i.) Maziwa fresh ya...
Watu wengi hudhani kama mwanamke hapati ujauzito basi tatizo na lawama zote zitakuwa ni upande wa mwanamke, lakini hilo si lazima mara zote liwe hivyo. Kuna uwezekano mkubwa kuwa tatizo la kutopata mtoto katika familia likawa...






