Ikiwa una tatizo la kupungukiwa damu mara kwa mara na hupendi kuongezewa damu hospitali unatamani kuongeza damu kwa njia za asili basi upo sehemu sahihi kabisa. Mahitaji: (i.) Maziwa fresh ya ng’ombe (ii.) Asali...
Category - WANAWAKE
Mkanda wa jeshi(Shingles) ni jina linalotumika sana mitaani kuutaja ugonjwa unaoshambulia ngozi na kujenga tabaka la vijipele vikubwa vyenye majimaji ambavyo mara nyingi hutokea upande mmoja wa mwili. Ingawa vipele hivi huweza...
Wanawake wengi hukumbwa na kadhia hii ya kutema tema mate sana wakati wa ujauzito kitu ambacho hugeuka kero kwao wenyewe au wenza wao. Njia rahisi ya kuondoa kadhia ni Mahitaji Tangawizi au Karoti Matayarisho na matumizi...
Wanawake wengi sana huwa wanakumbwa na tatizo la kuwa na kichefuchefu kinachowapelekea kutapika sana hasa katika wiki 12 za mwanzo za ujauzito. Hali ambayo hupelekea wengi wao kudhoofika sana kipindi hicho. Mara nyingi sana...
Neno U.T.I ni kufupisho cha maneno Urinary Tract Infections ikiwa na maana maambukizi kwenye njia ya mkojo na mfumo wake. U.T.I husababishwa na wadudu wadogo sana ambao ni bacteria waitwao Escherichia coli (E. Coli) ambao huingia...
Mahitaji: (i.) Asali kikombe robo lita (250mls ) (ii.) Vitunguu maji vikubwa Vitatu Matayarisho na matumizi yake: Saga vitunguu vyako viwe kama uji kisha changanya na asali yako Kwa Mtu Mzima: Kula vijiko viwili...
Je, Unajua Bawasiri/Hemorrhoids Ni Nini? Ni ugonjwa unaotokana na kuathirika kwa mishipa ya damu ya ndani na nje ya sehemu ya haja kubwa na wakati mwingine mishipa hiyo huweza kupasuka/kuteleza na kuvuja damu kwenye njia ya...
Kwa mwanamke yeyote aliyekamilika vizuri kupata hedhi ni jambo la lazima, ila siku hizi kumekuwa na changamoto nyingi sana kuhusu hedhi, kuna baadhi ya wanawake hawapati kabisa hedhi kwa miezi kadhaa, wengine wanapata lakini sio...
CHANGO la uzazi ni miongoni mwa magonjwa yanayoshambulia viungo vya uzazi vya mwanamke ambapo humsababishia maumivu makali ya tumbo na kushindwa kupata ujauzito, au mimba kuharibika kila zinapoingia. Zipo aina nyingi za chango...
Ini ni ogani muhimu sana kwenye mwili wetu ni kama ofisi ya Uhamiaji katika nchi. Hapa ndipo ambapo vitu mbalimbali hukaguliwa kabla ya kuingia kwenye mzunguko wa damu. Ikiwa ini lako lina matatizo basi itakuwa rahisi kwa vitu...