Ikiwa unatamani kushika mimba haraka basi anza sasa kutumia kwa wingi vyakula vifuatavyo:-
- Ndizi mbivu
- Kabeji
- Machungwa na matunda mengine ya jamii hii
- Mananasi
- Viazi Mviringo
- Viazi vitamu
- Samaki wabichi
- Mboga za majani
- Parachichi
Kama utajitahidi kula vyakula hivyo kwa wingi uwezekano wa kushika mimba unakuwa ni mkubwa sana.
Lakini pia unapaswa kuepuka kutumia vitu vifuatavyo
- Pombe
- Sigara
- Bidhaa za viwandani
- Madawa ya kuzuia usingizi
- Kahawa
- Sukari
- vyakula vilivyokobolewa
- Maziwa